4.7 C
London
Thursday, April 10, 2025

Lilian

spot_img

Faida Ya Kuwa Na Maarifa

Maarifa ni uwezo wa kushinda au kupata kitu fulani unachotaka. Maarifa hufanya mtu kuwa na uwezo na akili wa kujua,jina, umaarufu wa mtu, nguvu,...

Ajali Haina Kinga

Ajali ni tukio lisilofaa au hutokea kwa bahati mbaya bila kusudiwa na kwa kawaida huleta madhara , majeraha, uharibifu au hasara kubwa. Watu husafiri...

Magenge Hatari

Furaha ya kila mkenya ni kuishi maisha ya utulivu na amani. Serikali Ina jukumu la kuwapatia wananchi usalamu wa kutosha. Waziri wa usalama kithure...

Asili Ya Sheng Nchini Kenya

Kenya Ina kaunti arobaini na saba. Kila kaunti Ina kiongozi ambaye ni Gavana.Tuna makabila arobaini na mbili. Hata hivyo Kenya inatambua lugha tatu rasmi,...

Mvua Ya Masika

Gharama ya maisha ilibadilika kuwa ngumu Zaidi. Bei ya unga ilikuwa ghali mno.Wakenya wengi walilalamika kupita kiasi . Wazazi wengi walishindwa kuwapeleka Watoto wao...

NCHI YETU

Nchi ni sehemu ya ardhi ambayo imegawanywa kwa mipaka ya kisiasa na inayotambulika kwa jina lake. Nchi yangu inaitwa kenya. Najivunia kuwa mkenya halisi....

Lishe Bora

Lishebora ni jumla ya vyakula vyenye manufaa ya kiafya kwa mwili. Vyakula hivi Huwa na vitamini , wanga na proteini. Ni Bora kufahamu kuwa...

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Must read

spot_img