5.2 C
London
Tuesday, January 21, 2025
HomeAfricaBuriani 8-4-4 na Karibu Mtaala C.B.C. Nchni Kenya .( in swahili)

Buriani 8-4-4 na Karibu Mtaala C.B.C. Nchni Kenya .( in swahili)

Date:

Related stories

Why Emotional Literacy Matters for Children

Building a Strong Foundation: Why Emotional Literacy is Essential...

Mind Management, not Time Management.

The Illusion of More Time: Why Mind Management Trumps...

Behaviour Management in Children

Understanding and Guiding Children's Behaviour: A Practical Approach Raising children...

What’s New in the Latest ChatGPT: Enhanced Features and Capabilities

The latest version of ChatGPT, powered by GPT-4, has...

The Silent Revolution: How Tech Schools Are Transforming Lives in Nairobi’s Slums

In the heart of Nairobi’s bustling informal settlements, a...
spot_imgspot_img
Reading Time: 2 minutes

add block

Mtaala hurejelea seti ya ujuzi na uzoefu wa masomo . Pia hupanga ushirikiano baina ya mwalimu na wanafunzi . Mnamo mwaka wa elfu moja themanini na tano, mwendazake rais Daniel Arap Moi alianzisha mtaala wa na nne nne.

Mpangilio wa nane nne nne ilikuwa inachukua miaka nane shule ya msingi, miaka nne sekondari na kisha mwanafunzi anachukua miaka nne katika chuo kikuu. Mwanafunzi alisomea sayansi , hesabu , somo la jamii ,dini , kingereza na somo la kiswahili . Baada ya hayo mwanafunzi alifanya mtihani wa kitaifa na kujiunga na kidato Cha kwanza

Katika darasa la nane mwanafunzi alitakiwa kusoma kiswahili . Kiswahili kilikuwa muhimu zaidi. Alijifunza sarufi , ufahamu na jinsi ya kuandika insha Bora. Stadi Bora za lugha ilitegemea kuongea , kuandika na kuzungumza vyema.
Wanafunzi pia katika shule za msingi walitakiwa kusoma , somo la jamii .Jamii Ni Bora kuzingatia ushirikiano . Kuna mengi zaidi katika somo la jamii , Kama vile jinsi ya kufahamu umuhimu wa Sheria , ramani mbalimbali na hata kujifunza wanariadha mashuhuri zaidi duniani.

Somo la hesabu iliwasaidia wanafunzi kuongeza, kuondoa, kujumuisha hesabu. Kipawa Chao Cha kufikiria kilikuwa Cha kiwango Cha juu.ilikuwa Ni lazima mwanafunzi atia bidii ya mchwa katika masomo. Wanafunzi waliopitia hesabu zaidi waliweza kupata ajira katika Benki , kuwa na walimu wa hesabu na pia kuwa wahasibu .

Dini Ni njia moja ya kumjua mwenyezi mungu . Tukirejelea elimu ya nane nne nne dini iliwasaidia wanafunzi kujua maadili mbalimbali katika jamii .Kama vile heshima , ujasiri , wema na kuwapenda wenzetu . Bila dini huenda kizazi Cha sasa kitakuwa na utovu wa nidhamu. Hii ndiyo maana wengi huchoma shule nyingi.

Ikiwa wanafunzi watatia bidii katika masomo , bila shaka wizi na ukosefu wa usalama utapitwa na wakati na kutupwa Katika kaburi la sahau .Ni Jambo la kutia moyo zaidi wahubiri wengi walikuwa viongozi wa dini katika shule za msingi na sekondari. Kwa mfano mchungaji Ezekiel wa ” new life international ,”. Je, jamii ingekuwa wapi bila dini? Mwacha Mila Ni mtumwa. Tungelidharau dini bila shaka jamii ingeangamia . Wahubiri wangetoka wapi kuliokoa jamii.

Kingereza kilikuwa na mchango zaidi . Waandishi wa habari kame Jeff koinange na Victoria Rubadiri wote hutumia lugha ya kingereza kuwasilisha ujumbe wao kwa jamii husika. Vitabu vingi vimeandikwa kupitia lugha ya kingereza na kiswahili. Nyimbo , mashairi na michezo ya kuigiza pia Mara nyingi huandikwa kupitia lugha hii. Kuna mwelekeo mpya wanafunzi wakishabikia lugha hizi mbili darasani.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img