5.2 C
London
Saturday, December 28, 2024
HomeEducationLishe Bora

Lishe Bora

Date:

Related stories

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities In the...

Challenges Facing the Kenya’s Current Socio-Political Landscape

Kenya's current socio-political landscape is shaped by a series...

A Global issue about Female Genital Mutilation

Female Genital Mutilation (FGM), also known as female circumcision,...

Faida Ya Kupanga Uzazi

Upangaji uzazi ni muhimu sana katika familia, inahusu wanandoa...

Madhara Ya Vita Katika Jamii

Hali ya majonzi ilitanda katika kaunti ya Tana River....
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes

Lishebora ni jumla ya vyakula vyenye manufaa ya kiafya kwa mwili. Vyakula hivi Huwa na vitamini , wanga na proteini. Ni Bora kufahamu kuwa vyakula hivi Huwa na madini muhimu ambavyo binadamu huhitaji.
Madaktari mengi huhimiza watu kula vyakula vya kiasili. Kama vile viazi vya kuchemsha ndizi , mihogo ili kuimarisha afya mwilini. Vyakula vya kisasa ni kama soseji , vibanzi , ambazo Huwa Huwa na madhara mengi mwilini. Ni Bora tuzingatia lishebora ili kuzuia magonjwa mengi mwilini.

Mboga za majini , mboga ni vyakula vinavyopatikana kwenye mizizi ya mimea , kama mihogo . Tusisahau kuwa vyakula hivi huipatia mwili madini ambavyo husaidia katika ukuaji wa viungo .mwili . Ni wazi kuwa mtu anayekula vyakula vya viinilishe na madini Huwa na afya Bora zaidi. Mwili wake hupata kingi ya kuzuia magonjwa ya kumbukukizwa na yasiyo ambukizwa. Binadamu yeyote ambaye hula chakula ambacho kina uchache wa viinilishe, huko katika hatari kupatwa na magonjwa mbalimbali mwilini.

Chakula hutupatia nguvu na nishati za kufanya shughuli za kila siku . Pia chakula ni ngao inayotukingia mwili dhidi ya magonjwa hatari mwilini.
Matunda na mboga ni vyanzo muhimu sana vya vitamini na madini kwenye mwili wa mtoto. Kumpatia mtoto wako matunda na mboga husaidia mtoto kuwa na virutubisho vya kutosha mwilini na husaidia kukinga mwili na magonjwa.

Vyakula vyenye proteini ni kama nyama, samaki, mayai na mboga kama maharagwe ni muhimu. Mara nyingi protein husaidia katika ujenzi wa misuli na tishu.mfano wa nyama laini ni kuku au samaki ama wakati mwingine watu huchanganywa na vyakula vingine.

Daktari hushauri kuwa kila mlo mtoto ni lazima apate angalau tunda moja pamoja na mboga za majani . mfano wa tunda laini ni kama ndizi .pia ni Bora kuongeza na matunda mengine zaidi. Lishebora ni msingi mzuri wa afya ,Bora na ukiukaji mwema wa mtoto. Kuanzia umri wa sita , watoto wanaweza kupewa vyakula vya kunyonyeshwa ,maziwa ya mama bado yakibaki kuwa chanzo kikubwa Cha lishebora. Si Bora kulegeza kamba kuhusu lishebora. Vyakula ni chanzo Cha kuimarisha mwili wetu kila siku.

Chakula ni moja wapo ya mahitaji ya kimsingi ya maisha. Chakula lini virutubisho. Hata kama tuanaanda mlo kamili tusipoandaa kwenye mazingira safi na salama pamoja na kuchemshwa , maji ya kunywa ili tukinge afya ya watoto wasiadhiriwe na magonjwa. Ni Bora kila binadamu kujua kuwa ” chakula kiwe yako, dawa yako tukiwa , chakula chako” kujumiisha vyakula vyenye virutubisho ambayo pia vina kalori chache.

Lishebora Huwa chakula tofauti hii ni pamajo na chakula Cha protein. Matunda na mboga zilizojaa matunda na madini. Binadamu yeyote anahitaji kiwango kidogo Cha mafuta na sukari. Kutokana na kiburi Cha binadamu wengi hupuuza agizo la daktari na kula vyakula kilicho na sukari na mafuta kidogo, kuliko chakula kidogHio. Binadamu yeyote ikiwa huna lishebora, unaweza kuboresha Hali yako ya afya kwa ujumla. Kuboresha uwezo wako wa kupambana na magonjwa, kuboresha uwezo wako na kupona kutokana na Ugonjwa au jeraha na muhimu zaidi ni kuongeza kiwango Cha Nishati .

Sote tunajua kuwa tunaweza kutumia nishati kidogo zaidi siku nzima. Ni Bora kufahamu kazi mbalimbali ya kiinilishe , kama vile mafuta mwilini. Je mafuta unapatikana katika chakula gani. Mbegu za mafuta ni kama karanga. Kazi yake ni kutia nguvu na joto mwilini . Protein ni kama vile maharagwe, kunde na soya . Kazi ya protein ni kujenga mwili na kukarabati mwili wa binadamu kila mara.

Kuna madini kama ( calcium na fosforas) hupatikana kwa chakula kama unga wa dagaa , unga wa mifupa iliyochomwa . Kazi ya madini mwilini ni kutengeneza mifupa.chakula na maji ni mzuri kwa mkulima kujua matumizi ya maji na chakula.
Waziri wa afya Susan Nahumicha anawahimiza wafanyikazi wote katika wizara yake kuunga , mkono mpango wa afya kwa wote huambatanishwa na bima ya afya ya jamii almaarufu (shif) ili kupata hudumu dhabiti .Bima hii inatarajiwa kuanza mwezi wa Julia mwaka huu ,ambapo kila mkenya anatarajiwa kujisajili. Kama tujuavyo afya ni Bora kuliko Mali, Kinga ni Bora kuliko tiba.
Ni vyema kila wakati tupande chakula Cha kiasili, mazingira Bora huvutia wakati kila mara ikiwa kijani kibichi, watu wenye bidiii shamba, huvuna chakula, kwa vingi, samaki mkunje angali mbichi.kilimo ni uti wa mgongo wa nchi. Kule katika kaunti ya Kericho madhari ya kijani kibichi huvutia wananchi.heko naibu wa rais bwana Rigathi Gachagua kupiga jeki sekta ya kilimo.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img