3.1 C
London
Wednesday, January 22, 2025
HomeCommunityTatizo La Maji Samburu

Tatizo La Maji Samburu

Date:

Related stories

Why Emotional Literacy Matters for Children

Building a Strong Foundation: Why Emotional Literacy is Essential...

Mind Management, not Time Management.

The Illusion of More Time: Why Mind Management Trumps...

Behaviour Management in Children

Understanding and Guiding Children's Behaviour: A Practical Approach Raising children...

What’s New in the Latest ChatGPT: Enhanced Features and Capabilities

The latest version of ChatGPT, powered by GPT-4, has...

The Silent Revolution: How Tech Schools Are Transforming Lives in Nairobi’s Slums

In the heart of Nairobi’s bustling informal settlements, a...
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes

Kaunti ya Samburu kaskazini ni miongoni mwa maeneao mengi yalioathirika na ukame kutokana na mabadiliko ya tabianchi. Jamii ya wasamburu kwa kawaida ni wafugaji baada ya ukame kukabili maisha ya mifugo yao haswa ng’ombe na mbuzi Wakazi wengi walipoteza matumaini. Uhaba wa maji ni ukosefu wa mahitaji maalumu ya kukidhi mahitaji ya kiuchumi na mahitaji ya kawaida.

Ukosefu wa maji katika maisha ya kawaida ni ukosefu wa kioevu hiki kulingana na upatikanaji wake wa kunywa, kuanda chakula na usafi wa kibinafsi kwa matumizi ya maji haya maji lazima itumike na walengwa. Uhaba wa maji Samburu umefanya wenyeji wa Samburu kuhangaika kwa kukosa maji safi. Kampuni ya “Sawasco” haijatoa huduma kwa muda mrefu. Wakazi wa Lerata Samburu wanateseka zaidi huku wakitafuta makazi mbadala.

Sehemu ambazo huathiriwa na ukosefu wa maji ni pamoja na mikahawa, baa na vituo vya afya, hivyo kulazimu wakazi kununua bidhaa muhimu kwa bei ghali mno. Wakazi wa Samburu walishutumu kampuni ya usambazaji maji kwa kushindwa kusuluhisha matatizo yao ya maji haya baada ya kupewa mamilioni ya pesa kwa miezi mmoja iliyopita. Wenyeji wa Maralala wanaishi kwa hofu ya kupata magonjwa yanayotokana na maji kwasababu wanatumia maji hayajatiwa dawa. Jambo hili limefanya wenyeji kuuziwa maji ya chumvi ambayo kila mara imekuwa ghali na adimu kupatikana.

Ni jambo la kuvunja moyo huku wakazi wanahofia kupatwa na Ugonjwa Kipindupindu kwasababu maji yanayouzwa hapa na madaladala kila mara hayajatiwa dawa. Kwa upande mwingine, uhaba wa maji kiuchumi husababishwa na matokeo ya ukosefu wa uwekezaji katika miundombinu au teknolojia ili kutoa maji kutoka mito, vyanzo vya maji. Sehemu kubwa ya Afrika chini ya jangwa la Sahara ina uhaba wa maji kiuchumi. Kuna maji safi ya kutosha ulimwenguni kote na wastani wa zaidi ya mwaka kufikia mahitaji.

Sababu ambazo huamua uhaba wa maji ni ya asili ya athropiki, ambayo husababisha na wanadamu. Miongoni mwa zile za awali ni usambazaji wa maji kwa usawa duniani na viwango vya juu vya uvukuzi katika maeneo mengine. Kwa hatua ya kukabiliana, matukio kama vile ongezeko la joto ulimwenguni hutengenezwa na husababisha kuongezeka kwa joto na kubadilisha mifumo ya mvua, Je unajua kuhusu uhaba wa maji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine zinafaa kutafsiriwa.

Tatizo la ukosefu wa maji kwa mara nyingi limekumbwa na tatizo la maji ikiwemo Marlal Wamba na Acherspot. Wakazi waliojawa na hasira wameelezea kupitia wakati mgumu kufanya shughuli za kila siku ikiwemo biashara. Kwa upande mwingine baadhi ya wakazi wanalalamika kuhusu uhaba huo wa maji wengi hawana uwezo wa kujikimu kimahitaji kuwa mtungi mmoja wa lita ishirini linauzwa shilingi tano, hivi tatizo la kununua maji ni gharama katika baadhi ya wakazi wa Samburu.Hata hivyo wametoa wito kwa wahusika kutafuta suluhu ya kudumu.

Upungufu wa maji mwilini pia inaweza kusababisha kupoteza nguvu na stamina. Ni sababu kuu ya uchovu na joto mwilini. Unapaswa kuwa na uwezo wa kubadili upungufu wa maji mwilini katika hatua hii kwa kunywa maji zaidi, unaweza kuathiri utendaji wa figo yako na kuongeza hatari ya mawe kwenye figo.

Ukosefu wa maji inaweza kuathiri kilimo na kuchangia mazao duni ya vyakula. Usafi wa mazingira ambayo inaweza kusababisha Ugonjwa na huathiri vibaya zaidi wanawake na wasichana. Takriban watu billioni mbili duniani kote hawana maji salama ya kunywa na takribani nusu ya duniani wanakabiliana na uhaba wa maji angalau mwaka mmoja. Pia Nairobi na viungo vyake, imeshuhudia uhaba wa maji, Serikali ya kaunti imeweka mifumo kadhaa kama mgao unaolenga mitaa kadhaa, kwa mfano, mtaa wa mabanda ya Kariobangi uliopo kata ndogo ya Ruaraka, wakazi wa eneo hili hupokea maji siku mbili tu kwa wiki nzima. Kukabiliana na hali, baadhi ya wenyewe wameamua kununua vifaa vya kuhifadhi maji kama njia moja ya Kukabiliana na uhaba.

Ukosefu wa usawa katika mgao wa maji umepelekea wakazi kutegemea maji kutoka vituo mbalimabali. Maji yana manufaa mengi kwa maisha ya binadamu yeyote kuanzia kwa afya ya mwilini, mazingira na matumizi ya hapa na pale. Ukosefu wa uhaba wa maji huleta madhara si haba kama magonjwa mbalimabali miongoni mwao Kipindupindu. Vidudu kutoka kwa taka ya binadamu hueneza magonjwa Kwa watu kupitia maji ya kunywa yaliyochafuliwa. Chakula kilichomwagika katika mchanga uliochafuliwa, dagaa zilizohifadhiwa kutoka kwa maji machafu.

Magonjwa ya kuambukizwa yanayotona na uchafu wa binadamu ni pamoja na salmonella ya bakteria. Wakati taka ghafi ya binadamu na maji machafu yaliyotobiwa kwa sehemu yanayotoa vitisho muhimu zaidi kwa binadamu. Kuboresha matibabu mengi ya maji taka ni sehemu muhimu ya kushughulikia tishio kubwa kwasababu mimea ya matibabu ya maji machafu kwasababu mimea ya matibabu ya maji machafu inaweza kuwa mahali ambapo upinzani huu unakua bali na kuwafanya watu kuwa wagonjwa, uchafu huu inahatarisha uvuvi na miamba ya matumbawe na kusababisha madhara zaidi kwa watu wanaowategemea kwa chakula, riziki na ulinzi wa pwani.

Afisa mkuu wa maji na maliasili wa kaunti ya Samburu Ropilo Lenyasunya alisema kuwa serikali inafanya kila juhudi kurejesha huduma kama awali. Alisema idara yake itanunua dawa ili kutibu maji yaliyokuwa kwenye mabwawa yote kwenye kaunti hiyo. Afisa huyu atahakikisha kurejesha huduma ili kila mtu apate maji Kama tujuavyo maji ni uhai.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img