6.4 C
London
Monday, December 23, 2024
HomeInternationalKENYAUmuhimu wa Kutunza Mazingira Kijijini .( in swahili)

Umuhimu wa Kutunza Mazingira Kijijini .( in swahili)

Date:

Related stories

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities In the...

Challenges Facing the Kenya’s Current Socio-Political Landscape

Kenya's current socio-political landscape is shaped by a series...

A Global issue about Female Genital Mutilation

Female Genital Mutilation (FGM), also known as female circumcision,...

Faida Ya Kupanga Uzazi

Upangaji uzazi ni muhimu sana katika familia, inahusu wanandoa...

Madhara Ya Vita Katika Jamii

Hali ya majonzi ilitanda katika kaunti ya Tana River....
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes

Mazingira ni hali au Mambo yanayomzunguka kiumbe katika sehemu anapoishi. Katika mazingira Kuna miti ambayo hutupatia mbao , kuni , matunda , malisho ya wanyama na kivuli husaidia binadamu kupumzika wakati wa jua Kali.

Kuna aina mbalimbali za miti kama vile mpapai , mzabibu , mfenesi . Hata hivyo miti hutumika katika shughuli za ujenzi na mafundi . Kabla huweka saruji miti hutumika ili kuipatia nyumba msingi Bora. Baadahi ya miti hutumika kutengeneza fanicha kama meza , viti na hata vitanda vya kulalia . Dawati ambazo wanafunzi hutumia darasani zimetengenezwa kwa kutumia miti.

Miti ni makazi ya wanyama.

Kuna wanyamapori au mwituni kama swara , Simba , sokwe, Simba, kifaru na tembo. Wanyama Hawa huwa kivutio Cha watali. Bila misitu wanyama wangekosa makazi . Dhahiri shairi wanyama huletea serikali pesa nyingi. Kwa hivyo ni Bora kuwatunza vyema.

Miti ni dawa.

Si kila binadamu ni mkamilifu siku zote. Wakati mtu yeyote anaugua , miti hutumika kama dawa . Mfano nzuri ni mwarobaini . Wale ambao huumwa na tumbo wanaweza kupata tiba. Heko kwa jamii ya Masaai wao hutumia miti kutengeneza dawa. Dawa za kienyeji zimewasaidia wale ambao hawajazoea dawa za hospitali.Tatizo ni kuwa dawa za kisasa huwa ni Bei ghali. Kwa hivyo mwacha Mila ni mtumwa ni Bora Bora kutumia miti kama dawa.

Hutumika za dini au maombi.
Kuna baadhi ya madhehebu ambazo hutumia miti kwa shughuli za dini.Jambo hili hufanyika wakati kanisa halijakamilika kujengwa.si ajabu kuona ibada inafanywa chini ya mti. Tukiwa chumbani Kuna harufu ya gesi na pia Moshi. Kuna watu ambao huishi karibu na viwanda. Wakati kiwanda kinafanya shughuli zake lazima kunatokea Moshi kali.si barabarani si madukani .ukiwa nje utavuta hewa Safi kwenye mazingira.

Miti huvuta mvua.
Kuna sehemu nyingi ambazo zina ukame kama Turkana , Marsabit . Sehemu hizi hazina miti. Miti huvuta mvua . Ndiyo maana serikali ya Kenya inawahimiza wananchi kupanda miti kila wakati. Tusipopanda miti shuleni au makazi yetu, nchi yetu itabadilika kuwa janga.

Je ? Vitabu ambayo wanafunzi hutumia hutoka wapi? Jawabu ni viwandani kama” Rai Paper ” miti hutumika kutengeneza karatasi. Si tu karatasi ya kuandikia Bali mifuko ya kebebea sukari dukani pia magazeti ambazo tunazisoma hutengenezwa kwa miti.

Kitongojini Kuna shughuli nyingi za upanzi. Hata Bei ya gesi huwa ni gharama kwa binadamu . Ili kupunguza hasara ya kununua na kujaza gesi Kila siku, miti hutumiwa kama kuni . Ukitembelea maeneo ya sokoni bila shaka utauziwa kuni kwa Bei nafuu. Tukichoma miti tutapata faida ya makaa.

Katika maeneo ya pwani Kuna upepo mkali mno. Sehemu za baharini Kuna upepo ambao unavuma. Miti hutumiwa kuzuia upepo mkali ikiwa Kuna joto miti huleta utulivu. Miti huzalisha oksijeni nyingi. Kwa misimu kama watu 10 wanapungua kwa mwaka.

Miti huzuia mmomonyoko wa udongo.
Miti hufanya kazi kupambana na mmomonyoko wa udongo huhifadhi maji ya mvua .Misitu huifanya ardhi ishikamane . Miti hupunguza msongo wa mawazo katika maisha ya binadamu .

Ni Bora kufurahia madhari chini ya miti pamoja za familia zetu. Miti ambayo hutupatia kivuli huitwa mvule. Miti hii hutoa bustani kwa jamii.
Si Bora kwa binadamu kukata miti ovyovyo . Tunapofanya hivyo sisi huongeza kiwango kikubwa Cha hewa ya carboni ambayo sio Safi kwa binadamu na pia mmomonyoko wa ardhi ni hatari kwa binadamu .

Athari nyingine za ukataji wa miti ni kutoweka kwa wanyamapori na kupoteza makao. Tunapokata miti tunapunguza kiwango Cha maji katika mito mikuu. Heri kutunza mazingira ili kufurahia faida kuliko hasara.
Miti husaidia binadamu kufanya mazingira iwe ya kuvutia. Mahali Kuna vumbi nyingi watu hupatwa na ugonjwa ya macho. Ndiposa mwana mazingira, Wangari Maathai alisisitiza upandaji wa miti. Wahenga hawakukosea waliposema kuwa, palipo na miti hapakosi wajenzi.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img