19.2 C
London
Friday, May 17, 2024
HomeCommunityJe, Makaa Ya Mawe Ni Bora Katika Mazingira

Je, Makaa Ya Mawe Ni Bora Katika Mazingira

Date:

Related stories

Why women struggle to take climate cases to court and how to correct it

By Pedi Obani A study in Nigeria and South Africa...

Calling off UN regional climate weeks exposes rich nations’ lack of goodwill

Funding these essential meetings would cost little to rich...

Don’t gaslight Africa: We need genuinely clean cooking solutions

The IEA summit, where oil and gas execs are...

Kenya: Adding up the costs of the floods amid an economic crisis

The devastation from the floods in Kenya have been...

Can We Use ChatGPT for Global Goods Software Development?

At IntraHealth, where our mission is to support health workers...
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes

Makaa huwa na faida kutokana na kiwango kikubwa Cha nishati ndani yake kulingana na uzito wake, matumizi ya makaa imeongezeko kwenye miji iliyo mbali na misitu kutokana na gharama za kusafirisha mizigo, matumizi ya makaa yalisababisha uharibifu wa misitu katika nchi ya kenya.Makaa hutengenezwa kwa kupanga Kuni kavu kama rundo na kulikanda kwa udongo mbichi.Kuni zinachomwa chini, lakini udongo huzuia kuwaka kwake, vumba la makaa hutoka kwa mti wa mkuyu , kifuu Cha Nazi au mkaratasi Ina faida, Miti hizi huweza kutibu magonjwa mbalimbali. Makaa aina ya “activated charcoal” hutumika Wakati unaumwa na jino.

Watu waolikunywa sumu katika baadhi ya maeneao ya nchi kama vile Lamu wanaweza kuweka activated charcoal kwa maji Kisha kunywa, ni vyema huhamasisha watu kuhusu matumizi ya makaa .Makaa ni Kinga ya maradhi tofauti tofauti.Uchomaji wa makaa ya mawe huwa na athari kubwa. Ukichoma makaa unaathiri mazingira, hii ndiyo maana wakenya wengi wanafukuzwa kutoka kwenye misitu. Makaa inapochomwa moshi yake ni athari katika afya ya binadamu. Uchimbaji wa migodi pamoja na uchomaji wa makaa hutoa ajira kwa maelfu ya watu nchini Kenya.

Makaa ya kahawia imekaa muda mrefu zaidi na hasa kama, ilifunikwa na maganda mapya ya mashapo hivyo, hupata shinikizo kubwa zaidi kisha hubadilika kuwa makaa. Asili ya makaa ni mabaki ya mimea iliyokufa miaki mingi iliyopita. Makaa hutumika kule jikoni na kina mama kupikia chakula chao kila wakati.

Makaa meusi ni magumu zaidi na huchomwa pia katika vituo vya umeme nyumbani kwetu. Makaa ya Kawia ni makaa ya thamini ndogo zaidi na huchomwa ili zilizoendelea ulimwenguni, Kuna hatari inavyoongezeka. Ni bora kukomesha kabisa matumizi ya makaa ya mawe, Inasemekana kuwa makaa ya mawe husababisha uharibifu wa mazingira.

Makaa ya mawe yasipohifadhiwa vizuri yanaweza kuleta athari katika mazingira na afya, Kwa jumla hasa ikizingatiwa makaa yaya haya yana madini ambayo si rafiki kwa binadamu na mazingira. Ni bora kufahamu Ugonjwa sugu wa mapafu unaozuia hali za moyo kama vile mshtuko wa moyo,na hufanya moyo kuganda .Makaa pia yana maelfu ya matumizi mengine, ikiwa ni pamoja na utengenezaji wa saruji , nyunyuzi za kaboni na povu , dawa , Lami , mafuta asili ya petroli na biashara kwa jumla. Kupitia utafiti mbalimbali juu ya ulaji wa makaa imebainika kula makaa unaweza kutibu magonjwa.

Makaa ni tiba ya dharura kwa watu waliodhurika na aina fulani za sumu. Kwa sababu ya detoxifying yaani uwezo wake wa kunyonya matumizi ya makaa huongezwa katika baadhi ya vyakula kama vile mchele, mkate na vinatafunwa.

Kuna baadhi ya kanuni za uuzaji wa makaa.Muuzaji wa makaa lazima aweke kumbukumbu ya sehemu makaa yalikochukuliwa, nakala ya hati ya sehemu makaa yalikochukuliwa na pia nakala ya hati ya usafirishaji .Afisa wa huduma za misitu nchini kenya ana haki kutembelea popote nchini panapofanyiwa biashara ya makaa kwa jumla au rejareja.

Makaa ya mawe ya madini ni mafuta ya kisukusuku ambayo yapo kwa kiwango kikubwa kwenye sayari yanayotumika kwa uzalishaji wa nishati.Biashara ya kuuza makaa si rahisi, kwani kila wakati, muuzaji huwa anachafuka .Hali hii huwafanya wengi kuchukia kufanya biashara hii. Anithrasiti ni aina makaa mweusi kiwango kikubwa cha nishati ndani yake kinywe (graphite) ni kiwango Cha juu Cha makaa na hupatikana mahali chache duniani. Haiwaki kwa urahisi hivyo basi hutumiwa zaidi kwa penseli au kusagwa kwenye mashine. Makaa huwa ni bei nafuu. Kwa kweli ukilinganisha bei ya gesi ya kupikia na makaa.Gesi Ina bei ghali mno. Kujaza mtungi wa gesi ni elfu moja na mia mbili, ilhali mkebe mmoja wa makaa ni shilingi hamsini. Kwa hivyo watu wenye mapato ya chini hatakosa pesa za kununua makaa.

Katika majiko yenye sehemu ndogo za kutolea hewa, makaa inaweza kutoa kiwango cha sumu Cha monoxide, kiasi kidogo tu Cha makaa kila mara kinaweza kuzalisha sumu. Watu hufa kila mwaka kutokana na sumu ya kaboni monoxide wanapochoma makaa katika maeneo yaliyofungwa.

Maeneo haya ni kama vile nyumba zao, kwenye kambi au magari ya kubebea watu au hewa kwenye .Moshi wa makaa husababisha macho kuathiriwa na mwishowe yanakua rangi nyekundu wakati mwingine, mtu anaweza kushindwa kuona vizuri.serikali imepiga marufuku ukataji wa miti ovyo ovyo hii ni kwasababu miti huzuia mmomonyoko wa udongo, miti pia hutupatia matunda, wakati Kuna jua kali, watu hutumia miti kama kivuli kupumzika wakati wanahisi kuchoka.

Miti hufanya mazingira kuwa ya kuvutia na madhara huwa yakupendeza mno. Heko kwa rais William Ruto kuhimiza wakenya wengi kupanda miti, tukiharibu misitu kwa nia ya kuchoma makaa, kizazi Cha baadaye kitaangamia .

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_img
Previous article
Next article

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here