9 C
London
Sunday, November 17, 2024
HomeCommunityUchumi Wa Baharini

Uchumi Wa Baharini

Date:

Related stories

Why Africa is Still Poor?

Africa, rich in natural resources and cultural diversity, paradoxically...

Kenya’s Journey Toward a Cashless Economy

Kenya has been at the forefront of the digital...

Mau Mau: Mukami Kimathi’s swansong to a city at war

By Jaclynn Ashly 72 years after the Declaration of Emergency...

Youth Employment turn in Online Work

In a digital revolution, many young people are finding...
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes


Uvuvi ni kati ya shughuli za kale kabisa za binadamu na katika uchumi. Nchi nyingi huhesabiwa kati ya sekta msingi pamoja na kilimo na uchimbaji wa madini. Uvuvi hufanyika kule baharini, ziwa na hata mwenye mito. Katibu wa uchukuzi wa baharini huitwa Salim Mvurya. Wavuvi hutumia mbinu za kitamaduni, teknolojia ya chini ili kuishi katika nchi za ulimwenguni wa tatu.Uvuvi ni chanzo muhimu cha chakula na mapato kwa watu duniani kote. Samaki ni chanzo muhimu Cha protini za wanyama. Kuna faida na madhara ya samaki na dagaa.

Kuna aina mbalimabali ya samaki wanaovuliwa baharini kama vile saithe, saum, tung- long, swordfish, macrere na kadhalika. Dagaa ni chakula maarufu duniani, kwa ukanda wa Afrika mashariki. Dagaa ni kitoweo maarufu na hutumiwa kama mboga ya kula kwa wali ama ugali. Kuna aina nyingi za dagaa, kuanzia wale wanaotoka baharini hadi ziwani.

Dagaa pia hujulikana kama “Pilchards” ni samaki wadogo wenye mafuta ambao ni wa familia moja.Dagaa hununuliwa wakiwa wabichi na baadhi yao huwa wanapikwa. Dagaa husaidia kuleta maendeleo mazuri ya akili ya mtoto, samaki inapunguza hatari ya kuambukiza pumu na hata mizigo katika maisha ya baadaye. Ni bora watu kuzingatia dagaa katika lishebora kila mara.

Wanawake wajawazito na watoto lazima wale samaki. Chakula Cha baharini ni muhimu wakati wa ujauzito, omega ” 3 fatty asidi” zilizomo katika samaki ni muhimu kwa ajili ya maendeleo ya ubongo wa fetasi .Sekta ya uvuvi huchangia uchumi wa Taifa, lishebora na ajira kuanzia katika ngazi ya familia. Watu milioni nne wameendelea kunufaika na sekta ya uvuvi. Mabadiliko ya tabianchi mara nyingi hutatiza uvuvi baharani.

Kuna aina mbalimabali ya vifaa vya uvuvi. “Kit ” ni seti kamili kwa wanaovutia uvuvi, ni moja na vitu anuwai kama vile uzani wa risasi ya kuzama , katika uvuvi kuna gia zinazotumiwa ni pamoja na wavu wa begi, wavu wa ufukweni, wavu wa gill, wavu wa pete. Gia zilizobaki zinazingatiwa kama gia za kupita. Tatizo kubwa la uvuvi kupita kiasi hutokea wakati samaki wengi,wanavuliwa kwa idadi juu. Jambo hili husababisha hasara kubwa wa kiuchumi na kuporomoka kwa hifadhi nzima ya samaki kote nchini.

Wavuvi wengi huwa na shida ya kuingia na kutumia bandari ilhali hawana mikopo ya kutosha. Hali hii huwafanya wavuvi kuteseka. Uharibifu wa mazingira na pia huleta tishio kubwa kwa uendelevu wa uvuvi wa nchi kavu. uchafuzi wa maji, usimamizi usiofaa wa ufugaji wa samaki na rasilimali za asili ni baadhi ya changamoto.
Katika kaunti ya Busia,
Wavuvi wa samaki wanapigana wenyewe kwa wenyewe. Sheria kali zimewekwa kudhibiti uvuvi katika kisiwa cha Port Victoria, samaki ambao hupatikana katika kisiwa hiki ni kama omena, mbuta na tilapia. Uganda inaongoza katika wingi wa samaki, wavuvi wanahangaika zaidi, hii ni kutokana na kudhibitiwa kwa sheria Kali ya kudhibiti uvuvi. Wavuvi wengi wameamua kuzamia sekta ya kilimo.

Ni jambo la kuvunja moyo zaidi. wakati wa wavuvi wakenya wanashikwa na askari wa Uganda. Mara nyingi wao hutengwa na baadhi yao wameteseka sana. Kikundi cha “Coast Guard ” ndicho kimekuwa tatizo kubwa katika shughuli za uvuvi. Wavuvi hupitia shida kama vile ajali ya mara kwa mara. Wavuvi hawa huvamiwa na wanyama wakiwemo mamba. Huenda kwa bahati mbaya wanyama hawa wanaweza kusababisha vifo. Uingizaji wa samaki wa China nchini imeangusha soko ya samaki nchini kenya.

Ikiwa serikali itawapiga jeki wavuvi bila shaka shida hizi zitapungua kwa haraka. Raha ya wavuvi ni kufanya kazi katika mazingira salama. Wavuvi walioko maeneo ya Siaya na Busia wanahofia kuambukizwa Ugonjwa wa Ebola. Mara kwa mara Ugonjwa huu huripotiwa kuzuka nchini.

Uganda, Uvuvi wa ndani ni pamoja na maziwa, mito na mabwawa. Uvuvi hufanyika katika maziwa Naivasha,T urkana, Baringo, Jipe na Delta ya River Tana. Njia za uvuvi kama udongo, ngavu za gill na seins ya bahati haziwezi kudumishwa kwasababu hawawajui aina Fulani za samaki na mara nyingi husababisha mauaji ya kuuawa. Serikali imefanya bidii kuongeza miundomsingi ya uzalishaji wa vifaranga bora vya samaki kwa kujenga mabwawa. Pia imeimarisha udhabiti bora na usalama wa mazao ya uvuvi ili kulinda soko ya ndani au nje ya nchi.

Ni vyema serikali kudhibiti usalama wa wavuvi , inafaa kushughulikia changamoto za wavuvi na Kisha kutoa suluhisho dhabiti.Wavuvi wengi hutumia uvuvi kama kitega uchumi ili kuwaelimisha watoto wao .Tatizo la uvuvi haramu si bora kwasababu unasababisha kupungua kwa samaki na kuathiri shughuli za uvuvi nchini.

Ni muhimu kuwasiliana na wadau kama vile waziri wa madini na uchumi wa baharini bwana Salim Mvurya , kuhusu mambo ya bahari. Matatizo yanayowakabili wavuvi nchini Kenya na matumizi ya mbinu za jadi za ufugaji na uvuvi wa samaki.Samaki na baadhi za uvuvi vinatambulika sio tu kama lishebora duniani lakini pia kama bidhaa l zisizochafua mazingira kwa kiasi kikubwa nchini kote.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img