3.7 C
London
Tuesday, January 21, 2025
HomeCommunityFAIDA YA MISITU

FAIDA YA MISITU

Date:

Related stories

Behaviour Management in Children

Understanding and Guiding Children's Behaviour: A Practical Approach Raising children...

What’s New in the Latest ChatGPT: Enhanced Features and Capabilities

The latest version of ChatGPT, powered by GPT-4, has...

The Silent Revolution: How Tech Schools Are Transforming Lives in Nairobi’s Slums

In the heart of Nairobi’s bustling informal settlements, a...

The Rise of Kenyan E-Sports Culture: A New Frontier for Youth in Nairobi

When you think about gaming, there's a thought of...

People Turning to Nature for Toilet Paper

In a bid for sustainability, some individuals are cultivating...
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes

Kila Taifa Ina fahari ya kujivunia kila mara. Je, mbona ni muhimu kutunza mazingira yetu? Rais William Ruto Yuko mbioni kuhakikisha kuwa wakenya wanapanda miti kote nchini kenya. Misitu Ina umuhimu gani nchini kenya. Hata rais alitenga siku maalum ambapo kila mkenya alihimizwa kupanda miti. Siku hiyo watu wengi hawakuenda kazini Bali kujihusisha katika upanzi wa miti. Hii ni ishara tosha kuwa misitu ni muhimu nchini kenya.

Ifuatayo ni baadhi ya umuhimu wa misitu. Misitu Huwa ni hifadhi ya wanyama. Misitu Huwa na hifadhi ya wanyama kama ndege huishi kwenye viota . Wanyama hupata chakula kwenye misitu kama matunda ya porini. Hii ndiyo maana serikali ya kenya inawahimiza kila mwananchi kupanda miti kila wakati ili kuvuta mvua wakati Kuna kiangazi mwingi.
Miti ni muhimu sana katika mazingira. Kuna aina mbalimbali za miti kama vile mvule , mti wa maembe , mkorosho na hata mpera. Wakati mvua inanyesha miti huvutia kwa rangi yake ya kijani kibichi . Unapotembea maeneo ya kitale mazingira yote ni ya rangi ya kuvutia Cha kijana kibichi. Miti hizi huzuia mmomonyoko wa udongo.

Watalii wanapokuja nchini kutazama mazingira yetu, nchi hupata pesa za kigeni . Pesa. Hizi hutusaidia kuboresha miuondo misingi katika nchi yetu ya kenya. Watalii hutembelea mbuga la wanyama ili kujionea wanyama aina ainati . Ni Bora kutunza mazingira kila wakati ili kuvutia wageni wengi.
Kule Nakuru Kuna ziwa Bogoria ambayo huvutia watalii sana . Hata Naivasha kule kamere Kuna madhari ya kuvutia . Wavuvi huvua samaki na kuwauzia wageni Hawa kwa Bei nafuu. Bila misitu hatungepata hewa safi na pia kuwa na mazingira safi na ya kupendeza.

Ni Bora kufahamu kuwa profer mangari mathai alivyosema ukikata mti moja upande miti mbili . Tusikate miti ovyo ovyo ,ziwa itakauka na hatutapata maji Wala chakula na hata hewa . Tuzitunze vizuri misitu ndiposa sisi sote tujivunia maisha Bora. , tusilaumu ukosefu wa mvua Bali sisi ndisi hukata miti. Wanavyosema mti kavu hauchimbwi dawa.

Miti hutupa dawa za kienyeji kwa watu wagonjwa . Sehemu ya miti kama matawi Huwa dawa unaposokatwa na tumbo ama unapopata homa, sisi sote tupande miti, kwasababu dawa za kienyeji kuwa na tiba Bora zaidi. Miti husaidia na kuzuia upepo unaobomoa nyumba zetu na kusababisha mmonyoko wa ardhi na pia udongo. Miti hutusaidia kwa kutupatia mbao inayotumika kujenga nyumba zetu. Na seremali wanaofanya kazi kule viwandani hupata pesa wanapotengeneza vifaa kama meza, kiti, na hata vitanda na Kisha kuziuza kwa Bei Bora.

Miti huleta hewa safi . Hewa inatumuwa na kila aina ya mnyama na binadamu. Miti hutupea hewa kwa kulichukua kabondayoksidi tunayatoa na kutupea oksigeni tunapopumua . Maji tunayotumia hutokana na miti. Tunapopanda miti, Huwa mrefu kama mlingoti na huvutia kwa mvua hunyesha. Tukiwa na maji tunanyunyuzia kwa mimea na kupata chakula tunachokula kwa hivyo , kama hakuna chakula binadamu anaweza kufa.
Mazingira ni Hali au mambo ambayo yanayomzunguka kuimbe katika sehemu anapoishi . Katika mazingira Kuna miti ambayo hutupatia kivuli. Binadamu anapohisi uchovu yeye hupumzika kwenye kivuli . Dereva wa gari akichoka kuendesha gari , anaweza kupumzika chini ya mti.bali na miti Kuna na faida chungu mzima, Kuna baadhi ya hasara kama ifuatavyo.

Kifo ni mojawapo ya hasara. Wakati mvua inanyesha kupita kiasi. Kuwaweza kuwa na hasara au majonzi kama kifo. Wakati wa upepo mkali kuvuma Kisha kuangusha nyumba . Ikiwa watoto walikuwa chumbani, miti ikiangukia nyumba watoto wanaweza kupoteza maisha Yao. Hata nyumba yenyewe huharibika vibaya sana. Dereva ambao husimamisha gari mahali Kuna miti ni Bora wawe waaangalifu ili kuzuia kifo , wakati Kuna upepo mkali.
Wakati wa kupanda miti. Ni Bora tujua kuwa si miti zote Huwa zinamea . Inategemea ni aina ipi ya miti ambayo yule mpanzi atapanda. Na udongo katika sehemu hiyo . Ikiwa ni sehemu kama zaidi Miche inaweza kukauka kwa kukosa kumea.

Kuna baadhi ya watu ambao kila mara ni adui ya maendeleo. Serikali iko mbioni kukataza watu wasikate miti ovyovoyo. Binadamu kila mara hukata miti ili wachome makaa . Shida Yao ni kuwa hawajafahamu kuwa wanaharibu misitu. Kuna onyo Kali ambayo imetolewa , ukipatikana unakata miti bila idhini utachukuliwa hatua Kali.

Tusisahau kuwa baadhi ya miti Ina harufu Bora zaidi . Wakati watu wametulia au kupumzika chini ya miti. Kuna harufu nzuri ambayo miti hutoa , harufu hii pia huweza kufanya binadamu kukohoa, je, unafahamu kuwa nyumba hujengwa vipi? Wa wajenzi Hawa hutumia Nini katika kazi zao? Mbona wao hujenga nyumba za kuvutia .jawabu ni wao hutumia miti katika kukamilisha shughuli zao , bila miti hatuwezi kupata mbao ambazo huwekwa kabla ya mabati kwenye paa ya nyumba. Hasara hutokea wakati miti hii huoza na kusababisha ajali Kijijini.
Fanicha hutokea wapi? Je, na mara kwa mara fanicha husaidia binadamu kwa namna gari? Ni Bora binadamu kutengenza aina nyingi ya fanicha. Heko kwa rais William Ruto kuhimiza kila mkenya kupanda miti kila wakati .

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img