7.6 C
London
Friday, January 24, 2025
HomeHealthHUDUMU YA KWANZA

HUDUMU YA KWANZA

Date:

Related stories

Why Emotional Literacy Matters for Children

Building a Strong Foundation: Why Emotional Literacy is Essential...

Mind Management, not Time Management.

The Illusion of More Time: Why Mind Management Trumps...

Behaviour Management in Children

Understanding and Guiding Children's Behaviour: A Practical Approach Raising children...

What’s New in the Latest ChatGPT: Enhanced Features and Capabilities

The latest version of ChatGPT, powered by GPT-4, has...

The Silent Revolution: How Tech Schools Are Transforming Lives in Nairobi’s Slums

In the heart of Nairobi’s bustling informal settlements, a...
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes


Huduma ya kwanza ni msada unaotolewa kwa watu au mtu anayekabiliwa na Ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini kwa matibabu zaidi. Serikali Ina majukumu ya kitaifa na kimataifa kutoa huduma Bora za afya zinazotolewa kwa gharama nafuu na zinazopatikana kwa watu wote bila ubaguzi.

Msaidizi wa kwanza ni mtu ambaye ana sifa za kutoa matibabu ya huduma ya kwanza katika tukio la jeraha au Ugonjwa .hatua nne muhimu za msada wa kwanza ni tathmini , panga , tejeleza .bidhaa za huduma ya kwanza ni kama kitanda Cha kwanza, kitabu Cha msaidizi wa kwanza wa huduma Bora, sanduku, la msaada ( huhifadhi bidhaa) aluminium alloy na aid box. Vifaa hivi husaidia aliyepata majeraha.

Lengo kuu ya huduma ya kwanza ni kama vile kupunguza kidonda kuokoa maisha ya mgonjwa na kuleta matumani kwa mgonjwa na kupunguza maumivu kwa mgonjwa kwa haraka.huduma ya kwanza inaweza kujumuisha misaada midogo kama kumpatia mtu plasta ya kufunika kidonda kikubwa. Dawa ambazo hutumiwa katika huduma ya kwanza ni mafuta ya antibiotic, ambayo kwa mara nyingi huzuia mikwaruzo, peroxide hutumiwa kusafisha vidonda, vinavyowasha ili kupunguza majeraha na kuugua zaidi. Kabla ya kutoa hudumu ya kwanza ni Bora kuchunguza madhara ya majeraha. Kabla kuanza kutoa usaidizi, weka mazingira salama na uchukua tahadhari usijeruhiwe, toa tahadhari na dhabiti magari yanapokuja kwa Kasi, iwapo Kuna hatari ya moto , hakikisha hakuna mtu anayevuta sigara au kutumia sigara.sigara hudhuru afya ya binadamu. Hii ndiyo kwasababu imeandikwa kwa paketi ya sigara.

Matibabu ya dharura. Kitu Cha muhimu zaidi ni kuokoa maisha ya binadamu. Daktari “A.B.C.” hii inasimia D ni hatari Kuna madhara yanayoendelea kwa majeruhi. Ni Bora kuleta usalamu kuwatenganganisha majeruhi.R husimamia mwitikio wowote kutoka kwa majeruhi. Zingatia sauti unaosikia nyanjani. Iwapo hakuna mwitikio chunguza kwa makini kwa kuweka sikio lako karibu na mdomo wa majeruhi kwa angalau sekunde kumi kusikiliza na kuhisi pumzi.

Wakati mtu hupata ajali barabarani ni Bora kudumisha usafi wa hali ya juu .osha eneo lililijeruhiwa kwa sabuni na maji ili kuondoa uchafu wowote .baada ya kuosha , kupangusa na kutamba safi .epuka kutumia vitu kama karatasi Shashi , ambayo inaweza kushikamana na jeraha.funika kidonda mahali pa jeraha kwa dakika Tano.

Je, mbona watu wengi hufariki katika Mikasa mbalimbali, kama moto, ajali au mlipuko wa gesi. Inaaminika kuwa majeruhi wengi katika Mikasa ya ajali huaga au kuathirika vibaya zaidi kutoka na Hali mbaya ya uokoaji. Hali ya uokoaji inaweza kuboresha kwa kutoa elimu ya hudumu ya kwanza .kwa umma kila mmoja ana jukumu lake.

Watu wengi hujitolea kuokoa majeraha baada ya ajali kama za barabara. maporomoko ya ardhi au nyumba Huwa hawajatambua hata chembe Cha kukabiliana na uokoaji .hatima ya juhudi zao ambao hulenga kutenda mema ni kuathirika zaidi kwa majeruhi barabarani..bidhaa za huduma ya kwanza ni nzuri na yenye ushindani mkuu.watengenezaji wa bidhaa za bidhaa za hudumu ya kwanza wakati , itakusaidia kupunguza uwezekano wa maambukizi zaidi. Juhudi za huduma hutegemea bidii.
Huduma ya kwanza kwa aliyeuugua . Kuugua kupo kwa aina nyingi kwa shughuli za kila siku. Mtu anaweza kuugua kwa umeme, moto wa Kuni , moto wa gesi kama vile kule embakasi maeneo ya mradi , watu wengi waliumia .mvuke hutokea kwenye mvuke unaotoka kwenye mashine kama Bomba la pikipiki.

Pia mtu anaweza kuugua kutokana na mlipuko wa baruti .mfano huu wote wa Mikasa huhitaji huduma ya kwanza. Mtu anapouugua na moto angalia kwanza ni kiasi gani ameugua.kama sehemu ni kubwa sana si vyema kutoa taarifa katika kituo kilicho karibu. Kuna kanuni kuu sita za kutoa hudumu ya kwanza.

Katika eneo la dharura jitulize ndipo umhudimie yule aliyepata majeraha. Ukiwa eneo la ajali vaa glovu ikiwezekana kabla na baada ya huduma nawa kwa sabuni au maji baridi ili kuondoa bacteria.pia maofisini ni vyema kuweka sabuni na maji .ili kuzuia maambukizi zaidi . Wakati inahudumia mtu mwenye jeraha , tenda kama mtoa ya kwanza . Fanya unachojua na jua unachokifanya. Usisikilize maneno mengine Wakati unapatiana huduma .huduma ya kwanza humwacha mgonjwa na matumaini.

Katika mashindano ya riadha au hata michezo kama soka, huduma ya kwanza hutolewa ili kusaidia wagonjwa. Kuna baadhi ya wagonjwa, ambao hivunjika mguu, au mkono. Shirika la msalaba mwekundu pia husaidia katika kutoa huduma hii.mwili wa binadamu ni vyema kufanya mazoezi ili kuzuia mafuta mengi.ni Bora pia tuwe wakarimu kutoa damu kwa majeruhi,

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img