4.3 C
London
Monday, December 23, 2024
HomeKenya EnviromentalKenya NewsJANGA LA MAFURIKO NCHINI KENYA

JANGA LA MAFURIKO NCHINI KENYA

Date:

Related stories

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities In the...

Challenges Facing the Kenya’s Current Socio-Political Landscape

Kenya's current socio-political landscape is shaped by a series...

A Global issue about Female Genital Mutilation

Female Genital Mutilation (FGM), also known as female circumcision,...

Faida Ya Kupanga Uzazi

Upangaji uzazi ni muhimu sana katika familia, inahusu wanandoa...

Madhara Ya Vita Katika Jamii

Hali ya majonzi ilitanda katika kaunti ya Tana River....
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes


Mafuriko ni maji yanayojaa kwenye mto mpaka yanavuka Kingo zake, mafuriko huja kwa namna niyngi . Kuelewa aina zake ni muhimu kabla yakufanya mipango ya udhbiti wake. Kuna sababu tofauti .
uharibifu na hatua za kuzuia kwa kila mmoja .aina za mafuriko ni kama mafuriko ya mawimbi , mafuriko ya mafuriko.

Hutokea kutokana na mvua kubwa,wa theluji au kuyeyuka kwa barafu.
Mafuriko husababishwa na matukio ya asili na yasiyo ya asili.Tsunami matetemeko ya ardhi na mvua kubwa ni sababu za asili.
Dhoruba za mvua husababishwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Mafuriko hutokea wakati mvua hunyesha zaidi ya kawaida.Mafuriko yanayosababishwa na ongezeko la joto duniani.

Joto la dunia linaongezeka,na hivyo kusababisha mabadiliko makubwa ya hali ya hewa.Mafuriko hutokea wakati mvua hunyesha zaidi ya kawaida.Mafuriko yanayosababishwa na ongezeko la joto duniani.Joto la duniani linaongezeka na hivyo kusababisha mabadiliko makubwa ya hali ya hewa.Mafuriko yanatokana na ongezeko hili la maji ya bahari. Uharibifu mkubwa unaweza kutokea kutokana na mafuriko makubwa.Watu wanyama hupoteza maisha kutokana na mafuriko.
Magonjwa pia huenezwa na mafuriko.kwa mfano malaria,Dengi na magonjwa mengine . Huenezwa na maji.

Mvua inaponyesha kwa kiasi kikubwa, watu wanakabiliwa na kukatika kwa umeme kwasababu shughuli zao za biashara zitaathiri. Kwa mfano wale ambao wameweka samaki au nyama kwa ghokofu , watapata hasara , ikawa bidhaa hizo zitaharibika.
Bei ghali ya bidhaa . Ongezeko la Bei ya asilia hutokana na usambasaji mdogo wa chakula na bidhaa.

Hasara ya kiuchumi . Mafuriko itachukua rasilimali nyingi kuokoa watu na kukabiliana na janja hili. Wananchi wanapoteza nyumba zao na magari ambayo wamefanyia kazi maisha Yao yote. Huharibu ubora wa udongo. Mafuriko huharibu ubora wa udongo kwa kusababisha mmonyoko wa udongo . Udongo wetu hauna rutuba . Mimea na wanyama pia huharibiwa ma mafuriko.
Mafuriko pia yanaweza kuharibu mabwawa, pia yanasababisha vimbuga na Tsunami katika maeneo ya pwani nchini kenya. Wahasiriwa wengi wa mafuriko Huwa na majeraha mbalimbali mwilini . Ingawa wakenya wengi wanasherehekea chrimasi . Hakuna Cha msingi Cha kujivunia . Mafuriko imewaletea hasara nyingi , wengine wao wanaishi kwa majengo ya shule.
Mabadiliko katika anga husababisha mafuriko . Maji huvuja na kuzamisha nyuso za ardhi kavu wakati wa mafuriko . Mtiririko wa maji kutoka kwa vyanzo vya maji huzidi mpaka yake ya kawaida . Mafuriko haya , husababisha uharibifu wa mazingira.

Mafuriko Yanua viumbe hai na wanadamu . Maendeleo yanapunguzwa kwa uharibifu wa ardhi na miundombinu, maisha yanaharibika . Msongamano wa watu mjini unasababishwa na mabadiliko ya hali joto.
Mipango na programu zitatawanyika . Ni wazi kuwa mafuriko ikiendelea bila shaka nchi maskini kama Bangladesh , maendeleo na mipango za programu zitatawanyika . Na jambo hili litasababisha hasara kubwa kila mwaka.
Athari chanya ni kuwa mafuriko yanaweza pia kusaidia. Ni mfuko mchanganyiko . Hufanya udongo kuwana rutuba kwa kubeba matope. Wanamwagilia ardhi isiyo na udongo.
Mafuriko yanaweza kupunguzwa sana kuruhusu mito kuchukua mkondo wake wa asili badala ya kuingililiwa .

Kaunti ya Marsabit imekabiliana na ukame kwa karibu mwaka mzima na hatimaye kusababisha baa la njaa. Wakati wakati watu walidhani mvua ingebadilisha Mambo, ilimnyea kweli ila imesababisha mafuriko makubwa . Watu wawili wamepoteza maishi Yao katika matukio tafauti kutokana na mafuriko.
Mafuriko yamesababisha kukatika kwa madaraja , Barabara zikifurika kiasi Cha kutopitika na hivyo kukatiza hudumu muhimu kama vile uchukuzi wa vyakula , mitihani ya kitaifa inayoendelea na wagonjwa kufukia vituo vya afya.


Mgogoro wa kibinadamu huenda ukashuhudiwa kutokana na athari za mafuriko yanayoshuhudiwa nchini kenya hasa maeneo ya pwani , kaskazini , mashariki , bonde la ufa na magharibi mwa nchi.
Zaidi ya familia elfu kumi na Tano, zimeathiriwa , mifugo zaidi ya elfu moja wamefariki na mazao ya mashamba kiasi Cha heka mia mbili arubaini na moja yameharibiwa na mafuriko. Mafuriko Yameua watu kumi na nne kenya, njia za kujiokoa ni pamoja na kuhama haraka sehemu za mabondeni kwenda penye miinuko au nchi ya juu zaidi.

Watu waliozoea mafuriko Wana mbinu za pekee kama vile kujenga vizuizi vya maji kupanda juu , kuchimba mifereji inayopeleka maji mbali au kujenga nyumba juu ya vilima , wakijua hakuna njia ya kuzuia mafuriko . Mafuriko yanaweza kupunguzwa , sana kwa kuruhusu mito kuchukua mkondo wake wa asili badala ya kuingililiwa.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img