14.8 C
London
Wednesday, October 16, 2024
HomeCommunityJuhudi Za Kuboresha Mchezo Nchini Kenya

Juhudi Za Kuboresha Mchezo Nchini Kenya

Date:

Related stories

African Peacebuilding Network: Individual Research Fellowships

The APN and Next Gen program of the Social...

Applications for IOC Young Leaders Programme 2025-2028 now open

Applications for IOC Young Leaders Programme 2025-2028 now open Young...

Turmoil in Kenyan Politics; National Assembly Votes to Impeach Deputy President.

In a stunning development that has sent shockwaves through...

How Can African Women Bridge the Digital Gender Gap?

By Guest Writer There is a harsh reality in digital development:...

Man, 47, jailed for FGM in Nottingham

The UK is making strides in sending perpetrators of...
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes

Ili kufanikiwa katika michezo ni bora michezo itenganishwe na siasa, ufisadi na uharibifu. Hili linahusisha kutokuwa na uongozi wa michezo unaokuja madarakani kwa kupendelewa na kubebwa na wanasiasa fulani. Aidha linahusu pia madai ya kihalali ya kudumishwa kwa wananchi viwanja vyao vya michezo vilivyoporwa na wanasiasa fulani, na vilevile linahusu utengenezaji wa mazingira yatakayoruhusu ushindani katika ujenzi wa vilabu na timu bora za michezo kuanzisha kwenye mtaa hadi ngazi za chini hadi juu.

Changamoto itakuwa kuhusu motisha na heshima wanayopata wanamichezo ikiwemo ile ya kuajiri na kutawala maisha na nyota yao kimaisha.Uongozi wa michezo unahitaji watu wenye elimu au wale wenye ashiki. Uwekezaji mtaji, fedha, Kodi na mapato kimichezo yatazamwe upya ili kuondoa na husasan wakusanya kodi kunufaika na kuenea zaidi kuliko wanamichezo wenyewe. Hilo hapa linaandamana na wawekezaji katika michezo. Mathalani usimamizi ufuatiliaji na udhabiti wa fedha katika mchezo lazima uchukue sura mpya kwa timu au vilabu na idara zote za michezo kuwa na wahasibu wenye vyeti, kuwepo na ukaguzi wa ndani na nje kunasa wezi, waharibifu na wafugaji kuathiriwa pamoja na kutowajibika kwa namna nyingine. Timu za soko huuza hisa zao katika soko la hisia na hivyo kulazimika kujiendeleza kikampuni na sio kiu ya shabiki na kienyeji tu. Hatua hii bila shaka itaongeza thamani ya vilabu na wachezaji.

Kazi ya kufufua na kuendeleza upya michezo nchini siyo kazi ya kufanywa upya michezo nchini siyo kazi ya kufanywa na mtu mmoja kila taasisi inapaswa kuwa na ushirikiano na maingiliano yenye ufanisi na tija kwa upande zote, michezo wa riadha ni utambulisho wa Taifa Kwenye mashindano ya kitaifa. Lakini usimamizi mbovu, vifaa duni na madai ya matumizi ya dawa za kusisimua misuli ni changamoto zinazouandama mchezo huo.

Mbio za riadha zimetia fora sana Nchini Kenya, hata kuwa kitambulisho cha Taifa letu kwenye mashindano ya olimpiki kimataifa. Usimamizi mbovu, mazingira duni ya mazoezi pamoja na madai ya dawa za mauaji ya wanariadha kama vile Rebecca Chepttegei kutoka Uganda ni changamoto zinazouandama spoti, hiyo shughuli za kukimbia na kujenga msingi imara zimeshika kasi kwenye eneo la Kuresoi ambapo kituo Cha mazoezi ya riadha kilijengwa.

Michezo yote kwa kiasi isisitizwe humu nchini na mataifa mengi duniani kote. Jinsi ya kuimarisha mazoezi ya viungo vya mwili miongoni mwa wanaraga namna ya kuboresha idara ya ulinzi kati na usimamizi wa kikosi. Nchi zilizoendelea katika mchezo zimewekeza kwa kuvumbua na kuendeleza vipaji vyao. Tunahitaji kuwekeza kuanzia shuleni, kusaidia kuimarisha michezo ili kuwawezesha watoto kufundishwa michezo bila kukosa. Kuwe na elimu nchini kuhakikikisha wanalinda maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya michezo ya shule mapya kuenda sambamba na uwepo wa viwanja vya kutosha vya michezo.

Kuhakikikisha uboreshaji wa miundombinu ya shule huende sambamba na usafi wa mazingira upandaji wa miti kuzunguka uwanja wa michezo ili vijana wanapocheza wapate hewa safi na kuwa na mazingira zuri ya kufanyia mchezo.
Ni vyema kuhakikikisha pia shule za msingi na sekondari inakuwa na mwalimu wa michezo, ili kuboresha mchezo nchini. Waziri wa michezo mheshimiwa Kipchumba Murkomen anafaa kushirikiana na waziri wa elimu, sayansi na teknolijia , Sanaa na michezo.

Michezo ni kama biashara nyingineo kwasababu husaidia mwanariadha kupata mapato. Faith kiyegon ni mwanariadha mashuhuri na alijulikana kupitia michezo. Katika ulimwengu wa michezo uvumbuzi ni ufunguo wa kuimarisha utendaji, usalama na matumizi ya jumla kwa wachezaji na watazamaji, ubunifu mmoja umeleta mapinduzi katika mazingira ya vifaa vya michezo, haswa uwanja wa mpira ni muundo wa ambao una hewa safi, Hii ni pamoja na kuchanganya kwa teknolijia ya kisasa pamoja na faida na vitendo uwanjani, majengo na muundo ya Kuba ya anga kwa nyanja za kandanda na kwa nini mustakabali wa usanifu wa Mchezo. Kandanda ni mchezo unaohitaji uchezaji wa hali ya juu ili kuhakikisha utendaji bora na salama.

Viwanja vya kawaida vya kaunti nyingi vinakabiliwa na hali duni ya msala, ambayo inaweza huathiri ubora wa wachezaji na kuongeza hatari ya magonjwa. Miundo ya Kuba ya hewa hushughulikia changamoto hizi katika mazingira yanayodhibitiwa ambayo hulindwa dhidi ya vipengele na kuhakikisha hali ya wachezaji ni dhabiti. Usalama wa uwanja ni muhimu katika michezo miundo ya kuba ya hewa imeundwa kwa kuzingatia usalama, ikijumuisha mfumo ya hali ya Uingizaji hewa, nyenzo za majeraha.Uendelevu ni jambo muhimu zaidi linalozingatiwa katika ujenzi wa kisasa. Miundo ya Kuba hewa kwa asili haina nishati kwasababu ya muundo wake.

Taasisi za elimu pia zitambua faida ya michezo kupitia Talanta hela, Shule na vyuo vikuu kote ulimwenguni wasiwachwe nyuma kushirika michezo. Mazingira yanayodhibitiwa yaruhusu mafunzo na kuandaa mechi, ili kusaidia maendeleo ya wanariadha. Kukuza upendo katika wachezaji ni jambo muhimu hii ni baada ya Tsegay kumsukuma Faith kiyegon kule Paris Kisha Tsegay akaamua kuomba msamaha, kauli hii huleta utangamano miongoni mwa wachezaji na wanariadha.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img