5.7 C
London
Sunday, December 22, 2024
HomeHealthMGOMO WA MADAKTARI NCHINI

MGOMO WA MADAKTARI NCHINI

Date:

Related stories

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities

We Must Bring Digital Literacy to Remote Communities In the...

Challenges Facing the Kenya’s Current Socio-Political Landscape

Kenya's current socio-political landscape is shaped by a series...

A Global issue about Female Genital Mutilation

Female Genital Mutilation (FGM), also known as female circumcision,...

Faida Ya Kupanga Uzazi

Upangaji uzazi ni muhimu sana katika familia, inahusu wanandoa...

Madhara Ya Vita Katika Jamii

Hali ya majonzi ilitanda katika kaunti ya Tana River....
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes


Kugoma ni kukataa kufanya kazi kwa sekta au kituo Fulani kwa muda kwasababu mbalimbali. Nchini kenya madaktari wameamua kugoma. Ilikuwa Jambo la kushangaza mno nchini kenya ambapo katibu mkuu wa madaktari bwana Atellah alipojeruhiwa . Bwana Atellah alikuwa anaongoza mgomo wa madaktari ili kudai Hali Yao.

Katibu huyu wa madaktari alikashifu serikali kwa kukosa Nia ya kuteleza matakwa ya mgomo wao .anadai kuwa warejeshewe ushuru wa nyumba uliokatwa katika mishahara Yao, isitoshe madaktari walicheleweshwa kulipwa mshahara wao. Ikiwa serikali Ina Nia Bora wanadai kuwa makubaliano wa mwaka wa elfu mbili kumi na saba ilekelezwe kikamilifu, ndipo warudi kazini mwao.

Ingawa mahakama ilifutilia mbali mgomo huu, madaktari waliapa kuwa mgomo wao ungali na kamwe hawatalegeza kamba hata kidogo. Waziri wa afya bi Susan Nahumicha, Katika mkutano na maktari Hawa , alidai kuwa mgomo wao si halali na kusema kuwa Hana pesa za kuwalipa madaktari Hawa , kwa hivyo madaktari Hawa wakaamua kuanza mgomo wao rasmi . wakati madaktari wanagoma nchi mambo mengi hutokea nchini mwetu Kam vile ukosefu wa huduma katika hospital za umma. Mara nyingi wagonjwa ndiyo hutumia kila wakati.kwa hivyo ni Bora kutoa suluhisho ya kudumu.

Muungano wa Chama Cha madaktari nchini kenya wanasema kuwa ikiwa matakwa Yao hayashughulikiwa , madaktari wataendelea na mgomo wao, kwa muda, Wakati mgomo wa kitaifa indaandaliwa watu hulazimika kutafuta matibabu katika hospital za kibinafsi .jambo hili huwakera wakenya wengi kwasababu si kila mtu ana hela kugharamia matibabu ya dharura.wengine hata hawana pesa za kuwafikisha hospitalini huenda wakafariki dunia.

Katika kaunti ya Mombasa wagonjwa wengi walioathiriki na mgomo huo ,baadhi ya hospital zilipokea kiwango Cha chini Cha huduma ya afya , hii ni baada ya madaktari hususia kazi kama kawaida. Ni vyema wagonjwa wanaumia ilihali bado suluhu halijapatikana.

Baada ya kumaliza masomo , kila mwanafunzi Huwa na ndoto ya kupata kazi .walimu wanapogoma , wao huongezewa mshahara, itakuaje madaktari wanasome taalumu Yao kwa muda mrefu lakini , wanafanya vibarua tu katika hospitali za kinafsi , suala hili linafaa kuchukuliwa kuwa na uzito zaidi, ili wao pia wapate ajiri, mbona serikali inawatesa madaktari hii? Ni jambo la kuvunja moyo kuwa daktari.Madaktari Kenya wakataa nyongeza ya mishahara ya serikali - BBC News Swahili

Baada ya matokea ya mtihani wa kitaifa wanafunzi wengi baada ya kupita mtihani wao husema kuwa wanaotaka kuwa madaktari.ni wazi kuwa taaluma hii hupendwa wa wanafunzi, ndoto Yao ni kuwahudumia wagonjwa hospitalini .kwa hivyo serikali inafaa kuwatia moyo zaidi wanafunzi Huwa na ndoto ya kupata kazi .walimu wanapogoma , wao huongezewa mshahara, itakuaje madaktari wanasomea taaluma Yao kwa muda mrefu lakini Bado , wanafanya vibarua tu katika hospitali za kibinafsi, suala hili, linafaa kuchukuliwa kuwa na uzito zaidi, ili wao pia wapate ajira mbona serikali inawatesa maktari hii? Ni jambo la kuvunja moyo kuwa daktari.

Baada ya matokeo ya mtihani wa kitaifa wanafunzi wengi baada ya kupita mtihani wao husema kuwa , wanaotaka kuwa madaktari.Ni wazi kuwa taaluma hii hupendwa na wanafunzi, ndoto Yao ni kuwahudumia wagonjwa hospitalini.kwa hivyo serikali inafaa kuwatia moyo zaidi wanafunzi Hawa.

Madaktari nchini kenya wamelalamika kiasi Cha chini Cha nyongeza ya mshahara, utatuzi wa suala la ucheleweshaji wa malipo ya mishahara na marupurupu kwa madaktari, si ajabu kufahamu kuwa Makato ya pesa , yasiolipwa kisheria na malipo ya bima , bima ya matibabu kwa madaktari wote msiokuwa na kazi rasmi , ukosefu wa vifaa hospitalini ni baadhi ya matatizo yao.utapata kamba mgonjwa anapofika hospitalini anaambiwa kuwa dawa hazipo., ilhali serikali inasema matibabu ni ya bure.madaktari Hawa hutupatia huduma, lakini utalazimika kununua dawa nje ya hospitali hiyo, almaarufu “chemist” duka la dawa ambalo utaelekezwa kuenda kununua dawa .Hii ni ishara tosha kuwa ikiwa huna pesa , bila shaka utahangaika zaidi.baada ya kufuzu , hadi sasa baadhi ya madaktari hawajapandishwa cheo , kwa hivyo katika mgomo huu, ni Bora serikali kusikia Ombi lao kwa makini.

Wagonjwa wamekwama katika hospital mbalimbali nchini kenya kufuatia mgomo wa madaktari unaolengwa kuwezesha Utekelezaji wa mahitaji ya nafasi za lazima za mafunzo ya utabibu kwa zaidi ya madaktari waliohitimu elfu nne ,kupata ajira ya kudumu si kandarasi.madaktari Hawa wana familia kwa hivyo pia wanahitaji mshahara Bora kila wakati.

Ni Bora kufahamu wafamasia na madaktari wa meno wa kenya almaarufu (K.M.P.D.U.) ambalo ni shirika kubwa zaidi la taaluma wa tiba nchini kenya na kulemaza utoaji wa huduma muhimu nchini . waziri wa afya Susan Nahumicha alipuzilia mbali mgomo huu wa madaktari nchini kenya. Daktari Khalib salum wa hospitali kuu ya pwani anadai kuwa wataoa huduma muhimu pekee na za dharura kwa wagonjwa.Hudumu zisizo za kawaida au dharura hazipatikani kwa muda na wodi zinafungwa kutokana na uhaba wa wanafunzi kutokana na mgomo huo.Ni matumani yangu kuwa serikali itatoa suluhisho ya kudumu.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img