22.6 C
London
Friday, May 10, 2024
HomeCommunityHAKI ZA WATOTO

HAKI ZA WATOTO

Date:

Related stories

Road to Wembley: A Tale of Triumph and Turmoil in the 2023/2024 Champions League

The 2023/2024 UEFA Champions League has been a spectacular...

The Harmonious Tapestry; Exploring the Interplay of Music and Identity

Music, the universal language that transcends borders and unites...

Achieving Your Fitness Goals; The Essential Guide to Effective Training

Fitness and training are integral components of a healthy...
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes

Kutumikishwa kwa watoto wakiwa bado hawajafika umri wa miaka kumi na minne. Je,mtoto ana haki zipi? Ni bora kumtunza mtoto. jamii na serikali Wana majukumu ya kutunza mtoto. Ili afurahia maisha yake duniani.
Yafuatayo ni haki za mtoto nchini kenya. Mtoto ana haki ya kupata lishebora . Maana ya lishebora ni kumpatia mtoto chakula kilicho na viungo muhimu kama vitamin , proteini na carbohydrates. Viungo hivi humpatia mtoto afya Bora ili mwili wake uwe na nguvu zaidi . Mtoto akipata lishebora basi atakuwa na afya Bora na kuishi kwa furaha bila tatizo.

Mavazi hutusaidia kuficha uchi wetu . Ni vibaya kuona watoto wakiwa hawana mavazi. Mavazi hujumuisha shati, suruali na hata kaptura. Ni jukumu la mzazi hukakikisha kuwa mtoto amenunuliwa mavazi. Sare za shule pia ni mfano wa mavazi . Mzazi anapofanya hivyo walimu watakuwa na kazi rahisi kufundisha watoto darasani.

Magonjwa ni adui ya maendeleo . Kuna aina mbalimabali ya magonjwa kama vile kipindupindu , saratani, Ukimwi na kadhalika, ni vyema mzazi kuzingatia afya ya watoto wao. Ni bora kutahadhari kabla ya hatari . Mazazi anafaa kumpeleka mtoto wake katika kituo Cha afya , hata kama si mgonjwa . Anapofanya hivyo atapunguza baadhi ya magonjwa sugu kama malaria.

Mama mjamzito ni Bora pia kushughulikia yule mtoto ambaye bado hajazaliwa . Mtoto Huwa pia ana haki, kwa kuwa huenda atakuwa kiongozi wa kesho.
Elimu ni Hali ya kujifunza kile ambacho hujui maishani . Kuna aina mbalimabali ya elimu . Kama elimu ya shule ya msingi , elimu ya sekondari na hatimaye ya chuo kikuu . Si watoto wote wamebarikiwa kupata elimu Bora.serikali ya kenya pia imejitolea kwa bidii kuwaelimisha wanafunzi . Ni haki ya watoto kupata elimu nchini kenya.

Katika Kijiji mbalimbali , chifu wengi huwatafuta watoto waliopita mtihani lakini hawana karo ili wasome. Hii ni wazi kuwa watoto lazima wasome. Hata kama mwanafunzi hatafaulu darasani , anaweza kutumia ujuzi wake kijiajiri mwenyewe kupitia kazi ya mikono.

Kutangamana ni Hali ya kuishi pamoja kama ndugu na dada . Kuna shule nyingi nchini kenya ambapo wanafunzi hukutana. Utangamano huleta makabila zote arobaini na mbili pamoja. Si mjaluo si mkikuyu wote Huwa wakenya. Darasani wao hujifunza ujuzi mbalimabali ambapo baadaye watakuwa wanasheria na hata wakili. Ni wazi kuwa elimu huleta utangamano kupitia michezo, nyimbo na hata kule kanisani wakristo hutangamana . Tukiishi pamoja kama jirani basi watoto wetu watajifunza maadili mbalimabali kama heshima , upendo na ukarimu.

Maeneo hatari si Bora kwa mtoto anafaa kupewa usalama wa kutosha. Hata hivyo mtoto aliye ndani ya tumbo lazima apewe usalama.mama mjamzito anafaa kula chakula kizuri akizingatia lishebora . Anapofanya hivyo mtoto atakuwa salama.

Wazazi wanashauriwa kuwatunza watoto vyema. Kuna baadhi ya wazazi ambao huwatesa watoto wao. Kuwakata mkono ikiwa ameiba pesa. Jambo hili si Bora kwasababu inahatarisha maisha ya mtoto maishani. Watoto walemavu pia hunyimwa haki zao, wanafichwa ndani ya nyumba. Hawapelekwi shuleni. Usalamu wa watoto ni Hali ya kujali haki za watoto na kutimiza kikamilifu.
Mtoto ana haki ya kucheza na wenzake . Mtoto anapopewa nafasi ya kucheza anaweza kuwa mchangamfu Kisha anajifunza Mambo mengi. Mchezo ni Bora kwasababu hufanya mwili kuwa na nguvu zaidi. Afya Bora ni haki ya mtoto. Bila afya mtoto atakuwa mvivu sana . Mtoto apewe matunda na anywe maji mengi safi. Huku nyumbani wazazi ni Bora huhakikisha kuwa msala ni safi , kuenda haja kiholela hufanya afya ya mtoto kuwa na tatizo. Maji safi na chakula safi ni Bora kuzuia maradhi ya kipindupindu .

Ingawa watoto wamepewa hazi zao maishani . Kuna baadhi ya matatizo ambayo wamepata kama ifuatavyo. Watoto wengine wamenajisiwa . Ikiwa mama ameolewa na mtoto wake wa kiki. Pia kule Nairobi Syoisambu mabinti wa kike wameuawa . Mtoto huyu hupitia changamoto sana. Yule baba wa kambo huenda akamnajisi. Njia Bora ya kuzuia jambo hili ni kuwa mama mzazi amwache mtoto huyo nyumbani kwao .

Kupiga watoto shuleni. Imekuwa jambo la kutilia shaka zaidi . Kwenye kaunti ya kisii kulikuwa na kisa ambacho mtoto alipigwa viboko kumi na nne . Habari hizi zilikuwa za kutilia shaka zaidi . Hata wazazi walishangaa sana na tukio Hilo.

Ikiwa mtoto atakosa karo, ataamua kumtafutia mtoto kazi, za nyumba yaani kuwa “Yaya” wakati mtoto anafanya kazi za nyumba yeye huteswa zaidi kwa kunyimwa chakula na hata kupatiwa chakula kidogo zaidi. Pesa ambazo analipwa pia Huwa kidogo kumwezesha kuishi maisha ya kujivunia kila mara.
Mbona watoto wapelekwe vilabuni , mbona wakunywe pombe haramu. Jawabu ni kuwa wanaiga wazazi wao. Baadhi ya wazazi huwapeleka watoto wao vilabuni. Hatimaye watoto Hawa hulewa huku wakiikiiga wazazi wao. Ni matumani yangu kuwa wazazi watawaelimisha watoto wao vyema. Unywaji wa pombe hairuhusiwi chini ya miaka kumi na nani . Ndipo waziri wa elimu bwana Ezekiel machogu amewahiza machifu, kutafuta watoto waliofanya mtihani mwaka wa elfu mbili kumi na tatu kurejea shuleni, hata ikiwa hawana karo, serikali itagharamia .

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_img

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here