3.5 C
London
Friday, November 22, 2024
HomeCrimeKISA CHA VIJANA KUWAUA MABINTI NCHINI KENYA.

KISA CHA VIJANA KUWAUA MABINTI NCHINI KENYA.

Date:

Related stories

Why Africa is Still Poor?

Africa, rich in natural resources and cultural diversity, paradoxically...

Kenya’s Journey Toward a Cashless Economy

Kenya has been at the forefront of the digital...

Mau Mau: Mukami Kimathi’s swansong to a city at war

By Jaclynn Ashly 72 years after the Declaration of Emergency...
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes


Mwenyezi mungu aliumba mbingu na nchi. Kisha akaumba Adamu na Hawa. Ni jambo la kushangaza nchini kenya .Kuna baadhi ya vijana wanaua mabinti. Kuna baadhi ya mabinti waliowauwa kama vile scarlets wahu, ambaye alipata mwanaume mtandaoni . Na wakati alimdate katika mtandao.Kisha mwanaume yule akamwalika katika sherehe . Mwanasosholiti alikuwa mfuasi wa wengi, alipokataa kufanya mapenzi na mwanamume huyu, aliuwawa . Ivy wangechi aliuwawa kwa kukatwa kichwa na mpenzi wake naftali kinuthia, wangechi alikuwa mwanafunzi katika chuo kikuu kule eldoret. Kinuthia alikasirishwa na wangechi kuwa na uhusiano na wanaume wengi kupita kiasi. Pia Harriet moraa mwanafunzi wa chuo kikuu Cha Machakos alifariki katika nyumba ya mwanamume huyo. Inadaiwa kuwa wote walikuwa wanafunzi wa chuo kikuu Cha Machakos.

Getrude Chepkoech wa chuo kikuu Cha laikipia pia aliwaua na mpenzi wake kwa kukataa tendo la ndoa. Cynthia mulinda , alipatikana akiwa amefariki katika chumba Chake, ni Bora kufahamu kuwa alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu Cha Moi huko eldoret . Jambo hili liliwatia hofu mabinti wengi mno. Tamaa ni hati ya kutaka kitu bila kutoa jasho, si vyema kukutana na wetu tusiowajua mtandaoni, ikiwa tutawakamya mabinti wetu basi vifo vitapungua. Sababu za Kuuwauwaa kwa mabinti ni kama ifuatavyo Kunywa pombe kupita kiasi . Pombe ni kinjwaji ambacho walio chini ya umri wa miaka kumi na nane. Hawaruhusiwi kunywa. Hata hivyo vijana wanapokunywa pombe kupita kiasi si vyema . Kwenye kaunti ya Migori vijana hunywa pombe zaidi.

Pombe hii huuzwa kwenye mitaa na hata vilabu. Baada ya kunywa pombe wao huchanganyikiwa Kisha kusahau familia na hatimaye kusababisha vifo.
Ukosefu wa nasaha au ushauri. Nidhamu ni jambo la muhimu zaidi katika familia na hisaidia vijana kuwa watu wazima maishani. Wakati vijana wanakosa ushauri wao hujihususha katika dawa za kulenya . Wakati vijana wanakosa ushauri jamii itakosa viongozi wa kesho . Ni bora serikali kutoa elimu zaidi shuleni kuwasaidia vijana kuwa wenye busara.

Njaa ni ukosefu wa kuwa na mahitaji muhimu. Vijana wanapokosa mahitaji maalumu katika jammii wao hubadilika na hatimaye kuwa wezi kwasababu ya ukosefu wa mahitaji ya kifamilia . Anapokosa kufanikiwa , wao hutumia nguvu zaidi ili amfurahishe mchumba wake.
Ni bora kwa vijana kutambua kuwa, maishani , katika mapenzi chochote kinaweza kutokea. Wakati vijana wanapokuwa katika mahusiano wanaweza kukosana . Ni vigumu kijana kukubali ameachwa . Anapogundua hivyo yeye huamua kuua mpenzi wake kama vile “TRM” Kuna Binti aliyepatina ameaga. Wazazi wanafaa kuwaelekeza Wana wao.

Elimu duni ni ukosefu wa maarifa ya kutosha. Katika ndoa , wapenzi wanafaa kuvumilia si kuishi kakilaumiana . Ile kidogo wanapata lazima wagawane kwa usawa. Ni jambo la kusikitisha kuwa vijana wa kisasa hawana maarifa ya kutosha . Familia ikiwalemea wao huamua kufukuza mpenzi wake.
Tamaa ni Hali ya kutamani kule ambacho si chako. Badala ya kufanya kazi wao hungojea kuibia watu. Vijana wanafaa kutia bidii maishani ili wapate pesa. Ukitegemea Cha jirani utakufa masikini. Elimu ni Bora zaidi maendeleo katika jamii . Iwapo vijana watatia bidii zaidi katika kilimo ambacho ni uti wa mgongo bila shaka hawatakuwa na tamaa ya kuiba ovyo ovyo.

Mapenzi ya kiholela . Wakati vijana wanajihusisha katika mapenzi bila kujipanga basi ndoa za mapema zinachupuka. Matokeo ni kuwa watashindwa kulisha familia zao. Mbona tujihusishe na mapenzi na ila hatuna kazi? Ni bora kufikiria kwa makini kabla kupiga hatua kuanza mara moja. Tuwe tayari kufahamu mtoto ana haki zake za kimsimgi . Serikali haiwezi kulea familia . Vijana walikosa kufanya kazi kwa bidii wao hulaumu serikali . Si lazima kuanza familia ikiwa hujajipanga vyema maishani.
Katika gatuzi la Migori imeripotiwa kuwa mabinti wanafariki ovyovoyo mikononi mwa vijana . Hata hivyo yafuatayo ndiyo suluhisho Bora kwa vijana ili visa hivi vipingua.

Serikali infaa kupiga marufuku uuzaji wa pombe haramu katika vilabu na hata mtaani. Wakifanya hivyo vijana watawajibika zaidi kila mara. Wazazi wachukua tahadhari na kuwapatia vijana nasaha au mawaidha ya kutosha. Wasikimbilia ndoa kabla kujipanga
Wazazi wakifanya hivyo visa hivi vitapungua. Vijana wanapopata kazi, hawatakuwa na njaa katika familia zao . Watoto walikosa chakula. Jamii na familia nzima itakosa mwekekeo .watoto Wana haki kupewa chakula . Ni matumani yangu kuwa vijana watatambua Talanta zao si kungojea kazi za ofisi ambazo hazipo kwa sasa.

Hata kama uchumi imetupiga chenga nchini. Nawahimiza vijana kuepuka tamaa kama ya fisi . Hata kama maisha imekuwa magumu mno. Wizi so Bora inaweza kusababisha kifo. Si kila mtu hufurahia Mali yako ikiibiwa . Vijana tutia bidii katika kilimo kwa kuwa ni uti wa mgongo kuanza mahusiano.
Binadamu kuwa na matarajio mengi maishani. Baada ya kufunga ndoa ana matumani kuishi kwa amani . Ni ajabu kuwa magonjwa Huwa adui ya maendeleo . Wakati mke au mume anakuwa mgonjwa bila shaka chuki inaanza . Magonjwa huleta utengano katika ndoa , wakati mume anaogopa majukumu. Vita inapoanza watoto ndiyo hutumia zaidi.

Mila na desturi huleta matatizo katika ndoa nyingi humu nchini. Ikiwa kuwa Sheria Kali katika ndoa. Mume anapokataa mkewe kuvaa nguo fupifupi . Mavazi huleta chuki na malumbano. Lazima familia iwe na mwekekeo. Je mke anafaa kujua ni wapi anafaa kuvalia nguo fupi au refu . Iwapo atagundua hivyo , basi mume hatakuwa na malalamishi zaidi siku zote.
Gharama ya maisha nchini kenya imepanda zaidi . Itakuwa vyema kupanga uzazi na kujifungua watoto wachache. Bei ya bidhaa imekuwa juu zaidi . Wazazi wengi wameshindwa hata kuwapeleka watoto shuleni . Vita katika familia itapungua ikiwa wazazi wote watatia bidii kufanya kazi. Si kila wakati kulaumu serikali. Tusisahau familia eti maisha ni magumu Bali tujitolee kufanya kazi.
Si Bora kuepuka majukumu , Raha ya familia ni upendo na amani. Mume na mke watambua haki zao kila mara. Si vyema kuua mwanadamu bila hatia . Heko kwa waandamanaji kule Nairobi.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img