Damu husafisha gesi kwenye mwili wa binadamu, hutoa uchafu kwenye mwili, pia hubeba hormoni kutoka sehemu moja hadi nyingine na huupatia mwili kinga kwa kubeba antibodi kutoka sehemu moja hadi nyingine, damu husambaza joto mwilini.
Damu husambazwa mwilini kupitia kwa mishipa ya damu kutokana na usukumaji wa moyo. Katika wanyama wenye mapafu, damu hutoka kwa ateri ambayo hubeba oksijeni kutoka kwa hewa iliyovutwa hadi kwenye tishu za mwili na damu kutoka kwa vena hubeba dioksidi.
Wanyama wenye uti wa mgongo na walio na taya wa mfumo wa kinga maradhi unaotegemea kwa kiasi kikubwa seli nyeupe za damu. Seli hizo husaidia kukinga maambukizi na vimelea. Chembe cha kugandisha damu ni muhumu. Kuna tofauti kubwa katika aina na idadi za seli nyeupe za damu kwa mfano asidofili kwa jumla pia hupatikana zaidi kuliko kwa binadamu. Seli za damu za wanyama wenye uti wa mgongo wasio na mamalia zimetandazwa na zina umbo ya yai na huhifadhi viini vya seli zao.
Takribani asilimia hamsini ya damu yote ni plasma je, unajua mwili wa binadamu una damu kiasi gani? Katika mwili wa binadamu damu huzunguka ndani ya mishipa. Kazi ya tishu hiyo ni kupeleka oksijeni kwa seli za mwili. Ikiwa ni pamoja na mzunguko wa seli nyeupe kupitia zindiko, kuganda ambayo ni sehemu moja ya utaratibu wa kujirekebisha kwa mwili ambapo damu huganda wakati mtu anapokatwa ili kuziba kutoka kwa damu. Damu ni nzito kuliko maji.
Ikiwa na damu kundi “O” unaweza kutoa damu kwa kila mtu. Ni kitengo Cha damu ambacho huwekwa katika vyumba vya dharura vya hospitali na magari ya kubeba wagonjwa. Hii ni kwasababu hakuna muda wa kuangalia aina ya damu kabla ya kuongezwa. Kundi la damu ” O” Halina antigeni zozote ambazo hazikubaliwi na kundi lingine lolote la damu. Kwa hivyo, unaweza kutoa damu kwa watu wa kundi lolote. Seli nyekundu za damu ndio seli nyingi zaidi katika mwili wetu, zipo nyingi zaidi katika mwili wa mwanaume na ni kidogo katika mwili wa mwanamke. Kuna faida nyingi za kulijua kundi lako la damu hata wakati wa ndoa au wakati wa uja uzito, je, unafahamu kundi lako la damu? Ni moja ya maswali mengi sana ambayo watu wengi wanajiuliza.
Damu inayotolewa hutumia kwa wagonjwa waliojeruhiwa na majengo mbalimbali, wagonjwa wa saratani ambao wanahitaji kuongezwa damu na wagonjwa wanapoteza damu wakati wa upasuaji makubwa. Kabla ya kupatiwa damu mgonjwa damu iliyokusanywa hupimwa mchango mmoja wa damu unaweza kuokoa maisha hadi watu watatu. Vile vile Kuna jamii ambazo huamini kwamba mchanganyaji wa damu hupelekea damu kuisha mwilini.
Wakati kuna kiwango cha mwisho cha damu mwilini na unapochangiwa damu hufanya kazi ya kurudisha seli na maji iliyopteza mwilini na kwa kawaida damu, uliochangisha inarudi mwilini baada ya siku moja. Na huweza kupata maambukizi kwa kuchangia damu kama wengi wanavyodhani. Wanawake wengi wajawazito hubeba mimba yenye aina ya damu tofauti na yao na mama huweza kutengeneza kingamwili dhidi ya chembechembe nyekundu ya damu.
Ugonjwa wa hesabu chini ya damu ya mimba unaweza kuwa hafifu au Kali. Kundi lake la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara katika kukabiliana na magonjwa fulani. Ni vyema kujua kundi lako la damu sawa na ilivyo vyema kujua mambo mengine yanayochangia kuwa na afya bora.
Watu wa kundi hili la ‘A” huwa na changamoto ya kuwa na upungufu wa acidi mwilini hivyo huandamwa na vidonda vingi vya tumbo.Ni watu ambao kwa mara nyingi hushambuliwa sana na saratani za mishipa fulani, tumbo, mifuko ya mayai, mfuko wa kizazi na mlango wa kikazi na mlango wa uzazi kwa wanawake kila dakika kila chembe nyekundu ya damu husafiri kutoka kichwani hadi katika vidole kwenye miili yetu na kukamilisha safari yake kupitia mfumo wa mzunguko wa damu.
Mwili wako hutoa chembe nyekundu za damu milioni mbili kila sekunde inachukua nafasi ya seli nyekundu kama damu ndio nyingi zaidi katika mwili wako.
Kuweka imani potovu nyingi na mambo yasiyo ya kweli ambayo watu wanayaamini katika jamii kuhusu utoaji wa damu ikiwemo fikra kuhusu watu wasiokula nyama hawawezi kutoa damu kutokana na wasiwasi na kwamba hawapati madini ya kutosha hii si kweli Iwapo mtu huyu anakula lishe bora yenye virutubisho. Pia kuwa watu ambao wanaamini kuwa watu wenye michoro ya tattoo kutoweza kutoa damu kuchangia. Ukweli ni kwamba ni lazima wasubiri kwa miezi minne kutoka siku waliochorwa tattoo na baada ya hapo unaweza kuchangia damu
Umuhimu wa wachangiaji damu unaonekana wazi na una umuhimu mkubwa kabisa ni kuokoa maisha ya mtu ambaye angefariki kwa ukosefu wa damu mwilini tendo hili ni la kishujaa na ishara ya upendo wa kweli kwa mgonjwa ambaye huhitaji damu. Na unapochangia damu unachoma kalori na kupunguza uwezekano wa kupata saratani na kuongeza kuelewa umuhimu wa kuchangia damu. Aidha unaweza kupima afya yako bila malipo.