4.1 C
London
Wednesday, January 22, 2025
HomeCommunityJe, Kunywa Maji Moto Ni Bora?

Je, Kunywa Maji Moto Ni Bora?

Date:

Related stories

Why Emotional Literacy Matters for Children

Building a Strong Foundation: Why Emotional Literacy is Essential...

Mind Management, not Time Management.

The Illusion of More Time: Why Mind Management Trumps...

Behaviour Management in Children

Understanding and Guiding Children's Behaviour: A Practical Approach Raising children...

What’s New in the Latest ChatGPT: Enhanced Features and Capabilities

The latest version of ChatGPT, powered by GPT-4, has...

The Silent Revolution: How Tech Schools Are Transforming Lives in Nairobi’s Slums

In the heart of Nairobi’s bustling informal settlements, a...
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes

Maji moto huondoa sumu mwilini. Wataalamu wa afya wanasema maji ya moto hufanya mwili utokwe na jasho hivyo basi kuna nafasi kubwa ya kupoteza sumu ambazo hutoka kwa njia ya jasho na mkojo. Unywaji wa maji moto wakati wa asubuhi utakuweka kwenye nafasi nzuri kuepuka changamoto ya kupata choo kigumu. Vilevile huimarisha mzunguko wa damu kuwa nzuri ambao utakuweka kwenye nafasi nzuri kuepuka magonjwa ya moyo.

Kunywa vinywaji moto asubuhi Kama chai, kahawa na maji ya moto huweza kupunguza msongo wa mawazo na wasiwasi.Maji moto yanatibu magonjwa mengi ikiwemo figo, kutoa sumu mwilini na kujeyusha mafuta tumboni na kurahisisha mzunguko wa damu, pia huondoa sumu kwenye ubongo na hatimaye kusafirisha haja ndogo.

Faida ya kunywa maji moto ni kuwa kila wakati Unapotaka kwenda kufanya kazi ya nguvu au mazoezi, unashauriwa kunywa glasi nane ya maji ili kuondoa taka na kila kisichotakiwa kubaki mwilini, kukupatia jasho. Ni vyema kunywa maji ya moto yenye ndimu au limau kabla ya kufungua kinywa ili kurahisisha mfumo wa mwili kwa siku nzima. Kwa mujibu wa afya maji yanatibu magonjwa mengi, ikiwemo figo, kutoa sumu na kujeyusha matumbo mwilini. Zingatia kiwango Cha joto wakati wa kutumia kinywaji hicho.

Baadhi ya watu husema unywaji wa maji moto husaidia kupunguza vitambi na unene, huku wengine wakisema hutibu maumivu ya viungo na uchovu mwilini. Ukosefu wa maji katika maisha ya kawaida ni ukosefu wa kioevu hiki kulingana na upatikanaji wake wa kunywa maji, kuanda chakula na usafi wa kibinafsi kwa matumizi ya maji haya lazima itumike na walengwa.

Ni jambo la kuvunja moyo huku wakazi wanahofia kupatwa na Ugonjwa wa Kipindupindu kwasababu maji yanayouzwa hapa na madaladala kila mara hayajatiwa dawa. Wanywaji wa maji vuguvugu au moto kwa kadri wanavyokunywa maji hayo, wanaweza kua wanaangamiza tishu za mdomoni na hata maeneo ya koromeo.

Basi huna budi kuyaacha yapoe kidogo kabla ya kuanza kuyatumia kwa kuyanywa. Maji moto husaidia mzunguko wa damu mwilini na huondolewa wakati wa unywaji wa maji hupunguza hatari ya kuzeeka mapema. Hii inaweza kuzuilika kwa kunywa maji ya moto ya vuguvugu. Upatikanaji wa sumu mwilini hupelekea kuzeeka mapema na kwa haraka, lakini maji moto au vuguvugu yanaweza kusaidia kusafirisha mwili kwa kutoa sumu mwilini, hata hivyo pia huboresha ngozi kwa maeneo ya ngozi mpya. Kunywa maji moto kikombe kimoja kinaweza kutibu mwili wako kwa kusaidia umengenywaji wa chakula na kuzuia kuzeeka mapema kabla ya wakati.

Mara nyingi unywaji wa maji moto au vuguvugu, nyakati za asubuhi inasaidia kuiponya miili yetu na hutibu pia kwa kusaidia kuongeza nguvu katika mmengenyo wa chakula kwa kupunguza taka mwilini, taka ambazo zinaweza kuzuia kinga zetu kua hali yake nzuri ya mfumo sahihi na ambao unahitajika.
Utumiaji wa maji moto huongeza ukazwaji wa utumbo, ambapo husaidia uondoaji wa vitu visivyotakiwa. Maji ya moto husaidia kuondoa maumivu ya tumbo ya hedhi kwa akina mama na pia hupunguza maumivu ya unywaji wa maji nyakati za asubuhi husaidia kupunguza uzito, ambapo husaidia kuongeza joto mwilini, kiwango cha ufanisi wa kazi katika mwili, maji huongeza mzunguko wa damu kwenye ngozi na huzusha maumivu ya misuli. Husaidia kulainisha choo kwa pointi moja au nyingine, wengi wetu tunakabiliwa na vidonda hususan matatizo ya tumbo ambapo hua na choo kidogo au hata kukosa haja kubwa.

Katika miasha ya binadamu maji ni uhai, na pale tumapokunywa maji, basi wengi wetu hupendelea kunywa maji baridi lakini kwa mujibu wa wataalamu wa afya wanasema kunywa maji baridi mno ni makosa. Maji moto ni nzuri kwa kusaidia mtu kupata choo, kwa vile hurahisisha uyeyushaji na uchambuaji wa kinachotakiwa kutoka mwilini mwako.
Hata hivyo maji yakiwa moto ni kama umekunywa chai au kula chakula cha kawaida, tofauti na maji baridi ambayo hugandisha na kulazimisha figo kuyeyusha kwanza kisha kuchuja. Daktari anashauri umuhimu wa kunywa maji moto kabla ya kufanya mazoezi kwa nia ya kujiandaa kwa ajili ya kuchuja jasho ambalo litatoa sumu. Maji ni uhai kwa hivyo huwa na majukumu mbalimbali mwilini.

Kuna tiba nyingi za kitabibu zilizogawanyika katika makundi mbalimbali. Kuna zile za hospitali ambazo ni lazima zinunuliwe lakini kuna tiba ambazo kwa ushauri wa daktari hata wewe unaweza kujiandaa bila kutumia gharama kubwa, mojawapo ni kunywa maji moto asubuhi na mapema. Ukiwa na mazoea ya kunywa maji moto bila shaka utakuwa na afya bora.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img