15.1 C
London
Monday, April 28, 2025
HomeBusinessUkulima Wa Moringa Makueni

Ukulima Wa Moringa Makueni

Date:

Related stories

Athari Ya Kubeba Mizigo Mizito Mgongoni

Madhara haya makubwa ya kiafya yanatokana na kubeba mzigo...

Je, Kuku Wa Kienyeji Ni Mzuri Kwa Afya Binadamu?

Ufugaji wa kuku wa Kienyeji unahitaji mabanda ya kawaida,...

Historia Ya Tattoo Kama Mapambo

Tattoo ni sanaa ya kuchora na ina historia ndefu...

The Ethical Rasing of Hacking and Cyber Security

Introduction In the digital age, the internet is both a...

Spring Detox Trends 2025: Rebooting body, mind, and lifestyle

Introduction The Call for Renewal As winter fades and spring...
spot_imgspot_img
Reading Time: 4 minutes

Wakulima Makueni wamezamia kilimo cha dawa ya moringa. Wakulima hawa wameongezeka kwasababu ya thamani ya mmea huu. Biashara ya moringa iliyoanzishwa na mfanyabiashara mwenye mali ambaye ana umri wa miaka thelathini na mbili, aliunda harakati ya kupambana na kuenea kwa jangwa.

Mti wa moringa ina majani na mbegu zenye protini katika mboga, madini na vitamini ambazo husaidia watoto na mama wajawazito kukidhi mahitaji ya lishe bora. Maua ya moringa yamejaliwa kuwa na madini ya chuma na potassium kwa wingi na yanaweza kuchemshwa au kupikwa na kuliwa kama mboga. Kiwango chake ni zaidi ya ile ipatikanayo kutoka kwenye ndizi.

Moringa ina vitamini A zaidi ya mara tatu kutoka kwa karoti .Protini huwa mara mbili zaidi kutoka kwa maziwa.
Majani ya moringa huliwa kama mboga nyingine za majani. Kwa mfano mchicha. Majani yanaweza kuvunwa wakati wa kiangazi ambapo mboga nyingine hazipatikani. Mafuta kutoka kwenye mbegu za mti wa moringa huweza kutumika katika kupikia na kuosha nyumba.

Pia hutumika sana kwenye viwanda katika utengenezaji wa sabuni na bidhaa za urembo. Mafuta hukamwa kutoka kwenye mbegu ambayo alizeti hukamwa. Matunda kutoka kwa moringa huweza kutumika kama mboga na hutayarishwa kama maharagwe mabichi ambazo zinaweza kutumika kama njegere au kukaangwa.

Mti wa moringa ni chanzo kizuri cha kipato. Hutumika katika uuzaji wa mche ya mti wa moringa na utengenezaji wa bidhaa zinazotokana na moringa. Hupandwa kwa wingi kwenye bustani kama mti wa kivuli na kutumika katika upangaji.

Ikipandwa karibu inaweza kutumika kama fensi. Majini ya moringa huliwa na ng’ombe, mbuzi, kondoo, sungura na kuku, mbegu yake huliwa na kuku pamoja na wanyama wenye jamii ya ndege.

Mmea wa moringa Oleifara ni mimea ya kihindi ambayo hutoa faida kubwa sana kiafya mara nyingi huitwa mti wa ngoma, imetumika kwa Karne nyingi kama dawa ya Ayurveda. Katika mfumo wa dawa za zamani ilitumika kutibu Ugonjwa wa kisukari magonjwa ya ngozi na maambukizo.

Majani moringa ndio sehemu kuu ya mtu wa moringa. Unaweza kuyala yakiwa mabichi au yakiwa yamepikwa kama mboga yoyote ya majani. Pia unaweza kuyakausha na kuhifadhi kama unga kwa miezi mingi huku Ukitumia kama kiungo kwenye mboga na mchuzi na majani hutumika kama lishebora ya mifugo.

Utafiti wa kisayansi umeonyesha kuwa majani ya moringa inaweza kutibu pumu, kikohozi na kifua kikuu, aidha magonjwa mengine kama kisukari, shinikizo la damu, magonjwa ya ngozi, magonjwa kwenye njia ya mkojo almaarufu “U.T.I.” mbegu za moringa hujulikana pia kwa kutibu malaria, saratani ya utumbo na hupunguza msongo wa mawazo ambayo huleta hamu ya kunywa maji, jambo hili ni adimu kwa watu wengi, majini ya moringa yamepachikwa jina la chakula chenye kiwango kwasababu wanasayansi, waligundua yana kiasi cha madini ya kalisium yanayoweza kupatikana katika glasi nne za maziwa. Kiasi cha vitamini C inayopatikana kwenye machungwa saba.

Potassium hupatikana kwenye ndizi mbivu tatu. Pia utapata kiasi cha madini ya chuma mara nne zaidi. Majina ya moringa yana vitamini A nyingi kuliko karoti, vitamini nyingi kutokana na kuwa na kiasi kingi cha madini ya chuma. Moringa hutumika kusafisha tumbo na hutibu magonjwa ya zinaa. Jinsi ya moringa huchanganywa na asali inatibu kuharisha.

Majani ya moringa hupakwa mwilini katika kutibu majipu na maambukizi ya ngozi.Majina ya moringa wanaweza kutafufnwa yakiwa mabichi, yaliyochemshwa na kusagwa kuwa unga. unga wake hutumika kama kiungo kwenye mboga na mchuzi. Moringa ni mimea hufahamika pia kwa jina la mlonge au “Drumsticks Tree” umekuwa ukisifiwa kwa maika nyingi kutokana na faida nyingi za kiafya ambazo zinaptikana kwa matumizi ya mmea huu.

Mbegu za moringa huondolewa kwenye maganda ya mzunze. Mbegu mbichi za mzunze ni laini, lakini mbegu zilizokaushwa ni ngumu na zinafanana na maharagwe madogo. Moringa hurekebisha viwango vya sukari au hutibu kisukari.

Ni chanzo kikubwa Cha chuma na unapunguza maradhi ya fibroids. Hupunguza viwango vya cholesterol na profaili za lipid. Husababisha kifo cha seli za saratani.Pia ina majukumu ya kuimarisha afya ya moyo. Huponya vidonda, mbegu za moringa zilizokaushwa zinaweza kukaangwa katika siagi na kuwa kama vile vitafunio kama popcorn.

Mbegu mbichi za moringa zinaweza kupikwa na kuchanjwa na Milo kama Changanya nusu kijiko kwenye vyakula vyako vyenye maji mengi kama papa au chai ya asubuhi bila sukari. Kilimo cha moringa kina manufaa makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa wakulima wadogo kwani mimea huo unastahimili ukame, chanzo cha virutubisho vya afya kwa familia na mti yake huzuia mmomonyoko wa ardhi.

Ni mti ambao una virutubisho vyote kuwapa watoto viwango vya lishe, bila gharama kubwa “moringa ni mti uliotokea India lakini ipo hapo kwa miongo kadhaa . Ustawi katika joto la kitropiki na hata ukame. Hukua kwa haraka na hutoa majani na mbegu zilizo na protini nyingi za mboga madini na vitamini.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img