10.5 C
London
Wednesday, November 13, 2024
HomeCommunityMBUGA ZA WANYAMA ZINA FAIDA NYINGI

MBUGA ZA WANYAMA ZINA FAIDA NYINGI

Date:

Related stories

Why Africa is Still Poor?

Africa, rich in natural resources and cultural diversity, paradoxically...

Kenya’s Journey Toward a Cashless Economy

Kenya has been at the forefront of the digital...

Mau Mau: Mukami Kimathi’s swansong to a city at war

By Jaclynn Ashly 72 years after the Declaration of Emergency...

Youth Employment turn in Online Work

In a digital revolution, many young people are finding...
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes


Mbuga ni adhi yenye nyasi isiyokuwa na miti mikubwa mingi , nyika, kiwara za kuhifadhi wanyama mahali ambapo wanyama mwitu hutuuzwa bila ya kuuawa ovyovoyo . Mbuga za wanyama huhifadhi wanyama kama Simba, duma, ndovu au tembo , swara , pundamilia , kifaru na sokwe.
Hata hivyo wanyama Hawa Wana faida nyingi . Kwa mfano Huwa kivutio kikubwa Cha watalii na hivyo kuimarisha kipato Cha uchumi. Watalii hutoka nchi za ngambo kuja kutazama wanyama hawa Kisha wanalipa pesa za kigeni.
Si ajabu kufahamu kuwa ngozi, pembe na kwato za wanyama hutumika viwandani kutengenza bidhaa kama vibeti na begi. Kiwanda ni mahali ambapo bidhaa mbalimbali hutengenezwa . Ni Bora kuwatunza wanyama wetu vyema bila kuwadhulumu kwa kuwapiga.

Wanyama huwapatia chakula kama vile nyama au maziwa. Wanyama kama vile sugura , swara , hutupati nyama . Nao wanyama wa kufugwa ngombe , hutipatia maziwa pamoja na nyama kwa jumla . Baadhi ya wanyama kwa mara nyingi hutupatia ulinzi Kama mbwa huko nyumbani . Mnyama ni kuimbe aliye na uhai aghalabu mwenye miguu minne . Wanyama wamegawika katika makundi matatu tatu, wa kufugwa , wa porini au mwituni na majini .

Watu huajiriwa humo. Nchini kenya Kuna uhaba wa kazi . Kupata ajiri si rahisi. Mbuga za huhifadhi wanyama zimewaajiri watu wengi kazi. Wfanyikazi Hawa ndio husaidia katika kuwatunza wanyama Hawa ,wao pia husaidia katika kuwapatia watalii ulinzi wakati wa wanazuru mbuga hizi za wanyama kila siku.
Upanuzi wa hoteli , watalii huhitaji mahali pa kulala , vyakula , magari ya kueatembeza hapa na pale na haya huwagharimu kiasi kikubwa Cha fedha hasa za kigeni na hivyo kuimarisha uchumi wa nchi yetu. Mbuga nyingi nchini kenya huhifadhi wanyama ambao hawapatikani katika mabara mengine ulimwenguni.

Wanyama wanaweza kuwekwa pamoja katika sehemu iliyotengenezwa kuitwa zuu au bustani ya wanyama, lakini rasmi kwa wanyama hao huishi. Wanyama waliopotea kama vile (dinosauri) mijusi wakubwa, vifaru weupe na kadhalika.
Wanyamapori husaidia katika kurutubusha ardhi kwa samadi ( mbolea) ambayo mara nyingi hutumika katika sekta ya kilimo. Wakulima wengi hutumia samadi wakati wa upanzi . Wanyama kama vile ngombe, hutupatia samadi, ambayo hutumiwa kama mbolea.

Hifadhi za mbuga za wanyama huendelezapa uhusuano wa kinataifa . Jambo hili huleta utangamano kati ya mataifa mbalimbali, kwa mfano kenya , Uganda na Tanzania. Pia mataifa ya kigeni hutembelea mbuga hizi za wanyama ,kama maasai mara Nakuru kujionea wanyama Hawa. Katika Kaunti ya Nairobi Kuna pia hifadhi ya wanyama. Mwaka uliopita wazira wa utalii Afred Mutua , aliwaruhusu wakenya kutembelea mbuga ya wanyama bila malipo. Ungalikuwa na kitambulisho ya Taifa , bila shaka ungaliwawaona wanyama.
Jamii ya wamaasai imechangia pakubwa katika uhifadhi wa mbuga ya maasai mara hivyo kuimarisha viwango vya utalii katika sehemu hiyo. Mbuga hizi imesaidia kuimarisha mapato ya kaunti ya Narok na kutoa , ajira kwa mamia ya wananchi.

Watalii hupata burudani kutoka kwa vikundi vinavyocheza Ngoma za kiasili za kimaasai . Vijumba vya kitamaduni vya wamaasai . Vinavyojilikana kama ” manyatta” pia huwavutia sana watalii . Hata hivyo kivutia kikubwa Cha mbuga ya wanyama ni simba , ndovu ,kifaru , nyati na chui ammaarufu ” the big five ” watalii wanaweza kutembea mbuga hii wakati wowote wa mwaka . Hata hivyo , wataalamu wa utalii wamependekeza kuwa muda mzuri wa kutembelea mbuga hii ni wakati wa kiangatia kati ya mwezi wa Julia na oktoba.

Si ajabu wa watalii hupata fursa ya kushuhudia kuhama kwa nyumba kutoka mbuga ya Serengeti nchini Tanzania kuhama kwa nyumba kupitia mto mara kumenakiliwa kama mojawapo ya maajabu ya ulimwenguni.
Watu wangu hupenda kizuru mbuga ya maaasai mara kutokana na umaaarufu wake. Watalii huweza kusafiri hadi mbuga ya maasai mara kwa Barabara au kutumia ndege ,wanaotumia Barabara kutoka mji wa Nairobi hutumia njia ya Nairobi.

Baada ya kufika mji w Narok . Watalii huingia kwenye mbuga kupitia mojawapo ya malenga yanayopayikana katika pembe tofauti za mbuga hii.
Kwa miaka nyingi ,mbuga ya maasai mara ni mojawapo ya maliasili ya Taifa la kenya . Jina la maasai mara linatokana na jamii ya maasai ambao ndio wakazi wa maeneo ambako mbuga hii hupatikana . Ni Bora kufahamu kuwa sehemu kubwa ya maeneo yanayomilikiwa na jamii hii ni kavu na Huwa na miti michache . Wanyama Hawa Wana hasara kwa binadamu kama kushambulia watu, na kujaribu mashamba , hutisha mifugo , hupunguza ardhi ya makao ya binadamu na kilimo , Huwa chanzo Cha ufisadi nchini.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img