Vibanzi ni vipande vyembamba vya chakula vilivyokaangwa kwa mafuta. Kwa kawaida huongezwa chumvi na mayai au kitoweo kingine. Tunashauriwa kula vyakula vya asili visiyokuwa na mafuta. Yakiwa mengi badala ya kujenga miili yetu, mafuta mengi mwilini husababisha matatizo kama vile ugonjwa wa moyo.

Pia huleta madhara ya figo na hufanya mwili kuwa dhaifu.Wanasayansi wanashauri kuwa si vyema kila siku kula mfuko mmoja wa vibanzi. Katika uundaji wa chakula hiki viazi hukatwa kwa vipande vyembamba vilivyooshwa na kuwekwa kwenye mafuta ili viweza kuiva na kuliwa. Kwa wakati wa kawaida hukaangwa mara mbili.
Katika nchi nyingi kuna viwanda vinavyotengeneza vibanzi kwa wingi kwa ajili ya matumizi ya hoteli. Viazi hukatwa kwa mashine kubwa na kukaangwa mara ya kwanza, halafu kisha kugandishwa kwa nyuzi joto chini ya sifuri na kuuzwa kupitia maduka penye. Chakula hiki hakina virutubisho vya kutosha kunufaisha sana mwili.
Kinyume na nyingi tunashauriwa kutokula chakula hiki kwani kinapikwa kwa mafuta mengi. Hivyo basi ni vizuri kwa watumiaji wa chipsi kujitahidi kutumia kwa kiasi kidogo au kuacha kabisa vile vile mazoezi pia ni muhimu ili kupunguza mrundiko wa mafuta katika tafiti za kisayansi zimegundua kuwa chipsi husababisha kukuza hips kwa wanaume, wengi hawapendi kuwa katika hali hii. Ni muhimu kujiepusha na isije ikawa kichocheo kwa wanawake.
Kutumia sana ili kukuza sehemu hizo za maumbile bali wapunguze kutumia chipsi pamoja na kufanya mazoezi ili kuweka mwili katika hali ya kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
Pia ulaji wa chipsi kupita kiasi husababisha wanaume na wanawake kuzeeka mapema na kusumbuka kwa kutopata kizazi, kwasababu ya mafuta mengi mwilini na uzito kupindukia.
Hivyo basi ni vizuri watumiaji wa chips kujitahidi kutumia kwa kiasi kidogo au kuacha kabisa vile vile mazoezi ni muhimu ili kupunguza uzani.

Miongoni mwa chakula kinachopendwa sana katika jamii yetu ni chips, ambapo ni vyakula vyenye mafuta mengi. Pia inasemekana ni miongoni mwa vyakula ambavyo kupikwa kwa joto ya juu sana. Hiki ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu ya mwili wa mwanadamu.
Kama ni mtu ambaye hafanyi mazoezi. Madhara yake ni kuziba mrija na kupelekea magonjwa ya moja kwa moja ambayo ni hatari katika afya. Mafuta yakiliwa sana husababisha kuzidi mwilini. Mafuta yaliyopo kwenye chips sahani moja endepo ukiamua kuchanja, kuna uwezekeno wa kupata nusu glasi ya mafuta ya kupikia.
Kijumla mawili huwa hatuupi kinachofaa na badala yake kama haitumiki wakati huo basi huhifadhiwa Katika matumizi ya baadaye. Tunapokula vyakula vingi vyenye mafuta mengi huwa ni chanzo cha magonjwa mengi, kwa mfano shinikizo la damu hutokana na kuwa na mafuta mengi, kwa mfano shinikizo la damu hutokana na kuwa na mafuta mengi mwilini ambayo hupelekea kusafisha dumu.
Hii husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba hivyo husababisha kuwa na nguvu zaidi kukusukuma damu hiyo ili isambae mwilini kama inavyotakiwa. Nguvu hii ya ziada huongeza au kupunguza mapigo ya moyo. Mapigo ya moyo yanapoongezeka sana ni hatari na hupungua.
Wakazi wa nyumba ya wazee huko saint – Marcel wanatamani sana vibanzi ambavyo hawajakula hadi miaka mbili kumi na tatu. Wakati mashine ya kuvikaanga ilipoharibika. Huku ukame wa vibanzi hivyo ukiwa haujataraji kumalizika hivi karibuni. Wameamua kuwasilisha malalamiko rasmi kwa wasimamizi wa makazi hiyo ya utawala wa mji unaohusika katika kuendesha makazi hiyo.

Watu wengi walisajiliwa kupata mlo siku ambapo kumepikwa vibanzi. Wazee wanaoishi katika makazi ya kustaafu Nchini ufaransa kila mara walighadhabishwa sana kwa kutoandaliwa vibanzi katika mlo wao kiasi cha kulalamika kwa maeneo ya mji.
Mchuuzi maarufu wa vibanzi mwitu “Bevalyne kwamboka “alitangaza kisitisha biashara yake kwa kile alichokitaja kuwa ni kupanda kwa gharama ya mafuta ya kupikia na malighafi mengine kama viazi na Kuni. Mwanadada huyu alipata umaarufu mkubwa katika miezi michache iliyopita.
Viazi hutumika kupika aina nyingi ya vyakula kama vile vibanzi yaani chipsi kati ya nyingine. Ijapokuwa chakula hiki ni kitamu kwa watu wengi hasa walio katika maeneo ya mijini, wengi hawajui chimbuko lake, kama vile unapotembea katika kaunti ya Nyandarua moja ya aina ya vyakula itakavyokumbana navyo ni viazi.
Ingawa viazi vya mviringo vina wanga, kwa upande mwingine matumizi yake yanaweza kukusaidia kupata programu za kupunguza uzito au uzani. Wasayansi walifanya utafiti na kugundua kwamba kuna uwezekano mkubwa kwa watu kupunguza uzito wa mwili kwa kupunguza kiwango cha mlo wote wanaotumia bila kuzingatia kuacha ulaji wa aina tofauti ya chakula au viungo vya kupikia.
Zao hili limepata umaarufu kutokana wa wimbo “Rieng Genje” kundi la spider clan kupitia mstari “cash crop” la kaunti ya Nyandarua ni viazi. Boimen ni eneo lenye udongo wenye rutuba hali ambayo huwa mazingira bora kwa ukuzaji wa viazi. Ingawa viazi ya mviringo ina wanga si vyema kutumia mafuta kupita kiasi.