Tangawizi ni nini? Tangawizi ni familia moja kama manjano na iliki. Asili ya Asia ya kusini mashariki mwa India na china. Tangawizi ni sehemu ya lishe bora ya eneo hili na inathaminiwa kwa harufu yake, upishi na dawa. Ingawa tunafamu zaidi mapishi tunayopenda kama vile mkate wa tangawizi ni zaidi ya kionjo na imekuwa ikitumika kwa sifa zake za dawa tangu jadi, chai ya tangawizi ni chaguo bora la dawa ya kutibu dalili za awali za mafuta.

Inakufanya utoe jasho kwa hivyo inaweza kutumika kutibu magonjwa ya homa kama mafua, mzizi safi kinyume na podo iliyokaushwa na inaonekana kuwa na athari. Mizizi ya tangawizi hupunguza kizunguzungu, kichefuchefu, kutapika na jasho la baridi. Hali hii inaweza kuenea kwa watu wanaofanyiwa upasuaji na ingawa utafiti zaidi unahitaji.
Tangawizi imetumika zaidi kutibu kichefuchefu na kutapika kutokana na ujauzito. Hata hivyo wasiliana na daktari wako au mkunga kujua kama matibabu yanafaa kwako.Tangawizi zinahusishwa na sifa zake zenye nguvu za kuzuia maumivu. Matokeo hayo yanaonekana kuwa muhimu yanapotumiwa kwenye Sehemu mahususi kwenye mwili huku tafiti zikaunga mkono matumizi ya tangawizi kupunguza dalili za maradhi ya mapafu.
Mzizi ni sehemu ya mmea inayotumiwa zaidi katika aina za dawa mbadala. Ina mafuta mengi tele, watu wanaougua ugonjwa wa mifupa hutumia tangawizi mara kwa mara, wanaona viwango vyao vya maumivu hupunguka na wana afya bora, tangawizi ina sifa ya muda mrefu ambayo inasaidia uondoaji wa gesi ya ziada katika mfumo wa tumbo na unajulikana kutuliza njia ya utumbo.
Baadhi ya utafiti za wanyama zinaonyesha kuwa tangawizi inaweza kupunguza uharibifu wa ateri na kupunguza shinikizo la damu ina faida kwa mfumo wa moyo. Ingawa unachukuliwa kuwa salama kwa hali nyingi, tangawizi ni mimea yenye nguvu inayofanya kazi kifamasia, kwa sababu hii haiwezi kupendekezwa kwa watu fulani wenye historia ya mawe ya figo, watu ambao mara nyingi wanakabiliwa na kiungulia au asidi.Watu wenye shinikizo la chini la damu au wanaokunywa dawa za shinikizo la damu.

Watu wenye historia ya mawe ya figo yenye oxalate. Mara nyingi wanakabiliwa na kiungulia au asidi.Watu hawa wanapaswa kutumia tangawizi kwa kiasi kutokana na uwezekano wa athari, ikiwa hauna uhakika kama ni salama kutumia tangawizi. Tangawizi inaaminika kuwa na sifa ya kuongeza joto na inaweza kuboresha mzunguko wa damu. Pia ni bora katika antioxidants na misombo ya kupambana na uchochezi ambayo inaweza kusaidia afya ya uzazi kwa ujumla.
Umbo la tangawizi ni kama lile la mzizi katika elimu ya tiba ya kale, lakini matokeo mengi yanayodaiwa mwilini hayajathibitishwa kisayansi, imedaiwa kuwa na uwezo ufuatao wa kutibu, kuondoa sumu mwilini, kuua bakteria na aina nyingi ufuatao wa kutibu hata salmonella kuondoa uvimbe mwilini, kuondoa msongamano mapafuni ,maji ya tangawizi kimsingi ni maji yaliyoingizwa na mzizi safi ya tangawizi. Inaweza kuliwa moto au baridi, kulingana na upendeleo wako. Ili kutengeneza maji ya tangawizi.
Kata tangawizi safi, kunywa maji ya tangawizi ili kuhifadhi afya yako. Tangawizi si tiba ya kisukari isipokuwa huukinga mwili dhidi ya maradhi mbalimbali, hivyo msiache dawa au sindano za insulin bila mwongozo wa daktari wako.
Tangawizi hutibu homa ya kichwa, maumivu ya tumbo ya hedhi, hupunguza homa ya baridi yabisi, huimarisha afya ya figo. kwa wale wenye mfumo mbaya wa umengenyaji wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo wa chakula wanashauriwa kutumia tangawizi ili kupata mfumo mzuri wa mmengenyo wa chakula.

Tofauti na vyakula vingine kama kitunguu saumu, tangawizi husaidia pia kutengeneza harufu nzuri. Msukumo wa damu mwilini kwasababu huupa mwili joto ambalo mara nyingi mwili huhitaji wakati wa usukumaji wa damu mwilini. Kunywa maji ya tangawizi asubuhi kunaweza kuanzisha kimetaboliki yako na kukupa nguvu ya kuanza siku yako.
Kunywa maji ya tangawizi kabla ya mlo kunaweza kusaidia kupunguza uzito, kikombe cha joto cha maji ya tangawizi kabla ya kulala kinaweza kusaidia kupumzisha mwili wako na kuboresha ubora wako wa kulala. Thamani ya lishe ya tangawizi katika kalori. Tangawizi ina kalori na virutubisho vingine vingi. Pia tangawizi huleta afya nzuri katika chai yako.
Ukulima wa tangawizi mara nyingi imesahaulika kabisa. Watu wengi hupenda kutumia tangawizi kila wakati. Ni bora kijivunia kilimo cha tangawizi si tu kilimo cha ikolojia tu, kila binadamu hutukuza afya yake kwa kutumia tangawizi. Kama vile kuna virutubisho ambazo watu husahau mmea hii. Tujivunia kilimo cha tangawizi kwasababu ina faida kama kilimo cha mimea. Utashangaa kusikia kuwa kuna baadhi ya watu ambao husomesha watoto wao kupitia kilimo cha tangawizi.