6.1 C
London
Thursday, January 23, 2025
HomeEducationMAISHA BAADA YA KUSTAAFU

MAISHA BAADA YA KUSTAAFU

Date:

Related stories

Why Emotional Literacy Matters for Children

Building a Strong Foundation: Why Emotional Literacy is Essential...

Mind Management, not Time Management.

The Illusion of More Time: Why Mind Management Trumps...

Behaviour Management in Children

Understanding and Guiding Children's Behaviour: A Practical Approach Raising children...

What’s New in the Latest ChatGPT: Enhanced Features and Capabilities

The latest version of ChatGPT, powered by GPT-4, has...

The Silent Revolution: How Tech Schools Are Transforming Lives in Nairobi’s Slums

In the heart of Nairobi’s bustling informal settlements, a...
spot_imgspot_img
Reading Time: 3 minutes

Kustaafu ni kuacha kazi ya kuajiriwa baada ya kufukia umri au muda maalum uliowekwa.malipo baada ya kustaafu huitwa kiinuamgongo. Ni furaha kwa kila mtu anapofanya kazi. Lakini baada ya mtu kuacha .matatizo huanza kutokea.
Kutokamilisha miradi waliopanga. kila mmoja hujawa na furaha wakati anapofanya kazi. Ukiwa kazini ni Bora kushughulikia familia yako kwa ukamilifu sana.kuna baadhi ya miradi kama nyumba , kuelimisha watoto na hata kama ungeamu shamba. Ni jambo la hustaafu kabla kukamilisha miradi Yao.

Ukiwa na pesa wewe ni rafiki wa kila mmoja. Pindi tu wakati pesa huisha marafiki zako wanakutenga kama ardhi na mbingu. Ni vyema kuchagua marafiki waaminifu. Marafiki wanakutenga kwasababu wanapojua utawaomba msaada. Katika maisha ya binadamu mabadiliko ni kitu ambacho hudumu milele . Wema hudumu milele, kwa hivyo tenda wema nenda zako.
Kukopa ni harusi kulipa ni matanga. Kila mfanyikazi ana haki kuchukua mkopo. Watu wengi huchukua mkopo kwenye benki. Kabla hujachukua mkopo, panga vile utalipa baadaye.madeni husababisha chuki na hata vita katika familia. Kushinda kulipa madeni ni jambo la aibu sana. Watu wengine pia huamua kubadilisha njia . Simu zao pia huzimwa kwasababu wanaogopa kulipa madeni.

Kubadilisha mtindo wa maisha. Wafanyikazi wengi huishi mjini wakati wanafanya kazi. Wanasahau kwenda nyumbani wakati Wana kazi na pesa . Utapata wananunua gari bila kuwa na bajeti maalum. Kazi inapoisha mtindo wa maisha hubadilika,huenda hata shida zikizidi gari na nyumba huuzwa . Ni wazi kuwa maisha hubadilika na mwishowe wafanyikazi wengi hurudi Kijijini.
Kuna wakati wa kila jambo. Nyumba nzuri hutegemea kazi ambayo mtu hufanya.wakati unaishi katika nyumba ya ghorofa usidharau wengine. Utalazimika kuhamisha jamii kujenga nyumba nzur kule Kijijini. Kwasababu kazi na pesa huisha. Binadamu Bora ni yule anajipanga kabla kustaafu Maishani .

Kutumia kiinuamgongo vibaya maishani.si kila mtu ana elimu ya kutosha kuhusu maisha baada ya kustaafu. Kiinuamgongo ni pesa mtu hulipwa baada ya kuacha kazi. Pesa hizi ni Bora utumia pesa kwa utaratibu zaidi. Usipofanya hivyo, kila wakati utaishi ukijilaumu. Usitumia pesa hizi kunywa pombe, Wala kuenda ziara kila wakati. Njia nzuri kuanza biashara au kuanza ukulima huko Kijijini. Si Bora kuendelea kuishi mjini na huna kazi .maisha ya mjini Ina gharama ya juu kupita kiasi . Ni vyema kutahadhari kabla ya hatari. Aliye na macho haambiwi tazama.

Kazi ni nzuri wakati unapata malipo kila mwezi. Si ajabu Kuna baadhi ya watu huathirika kiafya na kiakili. Wakati unafikiria zaidi utapatwa na msongo wa mawazo. watu wanaweza kupata Magonjwa yasiyoambukizwa kama pumu, saratani kisukari, kiharusi au shinikizo la damu. Ukikosa pesa unadharauliwa, afya ya mwili hudhoofika. Kazi hufanya mtu kusahau Mambo kama kulipiza kisasi, kwasababu Huna wakati na watu Bali muda wako wote wewe hufanya kazi.
Kuvunjika kwa ndoa . Ndoa ni uhusiano kati ya mume na mke.katika ndoa upendo huwa kitu Cha muhimu.kazi inapoisha upendo huu inadidimia shida hutokea wakati mume hawezi kutunza familia yake. Ugomvi inapoanza watoto ndio huumia.ndoa inapovunjika mke ataenda kuolewa mahali kwingine na kuacha familia katika shida.huenda hata watoto watakosa elimu na lishebora kila mara.

Je, mbona watu hujitia kitanzi? Ni muhimu kukatiza Maisha yako kighafla. Ni jambo ambalo watu wengi wanajiuliza, baada ya kustaafu, maisha hubadilika, ukiwa nyumbani peke yako utawaza mengi sana kuhusu jamii yako na jinsi ya kuishi maisha bila kuenda afisini. Na jinsi ulivyopoteza wakati kwenye Raha na starehe mjini. Suluhisho ambayo wengi huamua ni kupitia kitanzi. Ikiwa mtu atafikiria vyema ni Bora kujihusisha na maswala ya dini . Ukijitia kitanzi utawacha familia yako katika shida nyingi. Tuepuke matatizo haya kwa kijikubali maishani.

Kukosa kazi si mwisho wa maisha.baadhi ya suluhisho kuhusu maisha baada ya kustaafu ni kama ifuatavyo. Elimu kwa wale waliostaafu.elimu ni maarifa ya kumjenga mtu akilini. Kazi inapoisha ni Bora kuwazungumzia watu jinsi ya kuanza biashara au maisha mapya .ingawa ni vigumu kijikubali, lakini elimu hii itabadilisha mawazo Yao kwa kiasi kikubwa.
Ni jambo la busara kulipa madeni mapema. Dawa ya deni ni kulipa mapema. Uadui huanza wakati tunahepa kutimiza wajibu wetu. Si kila mtu hupenda madeni maishani, Kuna sababu nyingi ambazo hufanya watu kuomba mkopo. Ikiwa tutaweza kulipa madeni kwa muda unaofaa.
Kuanzisha miradi kama biashara itakuwa jambo la muhimu sana. Mradi hii ni kama kufuga kuku huko nyumbani. Pia kuwa na ng’ombe wa kukama maziwa nyumbani itakusaidia kulipa madeni yetu. Si vyema kukaa bila kufanya mazoezi, ni Bora kufahamu kuwa mazoezi husaidia kunyosha viuongo vya mwili kila siku Maishani mwetu.
.

About The Author

Subscribe

- Never miss a story with notifications

- Gain full access to our premium content

- Browse free from up to 5 devices at once

Latest stories

spot_imgspot_img